Nani mtani jembe? Nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko. Siku moja mume karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi:
MUME: Fungua mlango!
MKE: Leo sifungui...
Daa hasira bana,nilichukizana na mpemzi wangu nikijua hatitaweza kuwa wapenzi,na kwa hasira nilimblock kwenye Fb na mitandao mingine,baada ya mda mfupi tuli-compromise na tukawa wapenzi tenaIle...
Kuna redio flani nilikuwa naisikiliza leo (21/03/2015) nikasikia mtangazaji anasema"Leo kuna mvuaa fulni amazing"
Mvua flani amazing ndio inanyeshaje?
Vijana tuache kuwa swaga za ajabu kwani...
Sikia hii
KONDA: "Denti achieni viti sogeeni nyuma,,
halafu madenti wa siku hizi usharobaro tu elimu sifuri,,
enzi zetu mtu ukitoka shule unakuwa na kitu kichwani..."
DENTI: "Acha matusi tunasoma...
Nimempata mmoja ths moment.. Yuko na cm yake like hawezi iacha..
Hana hata aibu mbele yetu. Ths is hard.
Jamani kama mlishakutana na hali kama hii.., mlifanya nin?
Son: Mum, my holliday is over, so I'll take a plane and come home tommorow.
Mum: But son, your father bought a pooltable yesterday & I want to return it because we don't have enough space in the...
Uko ndani ya ndege. Kukiwa na utulivu mkubwa ambapo watu wengi wanaonekana kusinzia. Umejiegemea kwenye seat yako ukitafakari hili na lile.. Ghafla unaskia sauti ya kilio cha mtoto mchanga kwa...
Habari kwenu, Napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu leo ni siku yangu ya kuzaliwa, natimiza miaka kadhaa.
Shukrani kwa mwenyezi mungu, wazazi wangu, ndugu jamaa na marafiki kwa upendo na...
Uko na girlfriend wako ndani ya daladala mesimama ghafla anakwambia bby nikufanyie surprise unamjibu ndio anakusogelea karibu anafungua zipu anaingiza mkono anaitoa nje mbele za watu una bakitu...
1~ Kukaa siti moja kwenye daladala na mwanamke mwenye mimba, yani najikuta moyoni napata raha ya ajabu.
2~ Mwanamke aliyekaa mbele yangu kwenye daladala awe amevaa suruali halafu imekuwa kama...
Nna wasiwasi huyo mrmbo lazima atakuwa lara1 maana yeye ndo CEO wa ANTI-FREEP CAMPAIGN ukanda wa AFRIKA MASHIRIKI NA KATI PAMOJA UKANDA WA NCHI ZOTE ZILIZOPO KASKAZINI MWA...
Ndugu Wanajamvi! Wasalaaaam...
Kusimama ktk kundi la watu na ukaongea kitu (POINT) Iwe -/+ ni KIPAJI..
Leo nimesimama katika BWALO chuoni kufanya PRESENTATION nilihisi neva za fahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.