Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
SIku moja Nunda alikuwa anenda kwa babu yake ilikuwa ni wakati wa likizo ,sasa alifungasha nguo na mizigo miwili mitatu na kuiweka kwenye mkokoteni ambao alitengenezewa kiasi chake ,kwa babu yake sio mbali ,unapandisha kilima kirefu ukishuka umefika kwa babu yake,sio mbali na kwa wazazi wake ila shule zinapofungwa huwa anakwenda zake huko.
Sasa alifungasha na mkokoteni kuwa mzito kiasi kwa kupandisha kilima ,alianza kuondoka kwa mwendo na kila akipandisha kilima alikuwa anazidiwa na mkokoteni kiasi alikuwa anatumia nguvu za ziada na kuanza kuchoka ,alipokuwa katika kupandisha aliulani mkokoteni kwa kila maneno, kmbabake mkokoteni mzito kama ,njia nzima yanamtoka maneno huku kijasho kinamkatika.
Akatokea msamaria mwema ambae alimsikia alivyokuwa akiporomosha maneno makalimakali akamwambia muombe Mungu anakusikia kwani yupo kila sehemu,yupo kanisani,yupo manjiani yupo kila pahalah !
Nunda akatulia kisha akahema kidogo ,kisha akasema inamaana hata humu kwenye mkokoteni yumo ?
Msamaria akajibu ,ndio hata humo yumoh !
NUnda akajibu ..Alaaa tell him to get the hell out ashuke na asaidie kuvuta :becky: