Mwanzo wa kujifunza lugha

Mwanzo wa kujifunza lugha

BOGABICHI

Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
89
Reaction score
19
Hatua hii najua kila mtu aliipitia .
Naomba uandike maneno ya watoto unayo yakumbuka
naanza na haya ya mwanangu
.. mboda (mboga)
..mma (maji)
..kitombe (kikombe)
daa tumetoka mbali
 
Back
Top Bottom