Naomba usinisumbue tena na tena

Naomba usinisumbue tena na tena

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,354
Reaction score
38,705
Sitaki mazoea nawewe wala usinikumbuke tena sina shida nawewe tena, haya ni maneno niliyomwambia shetani siku ya leo sijui wewe utamwambia nini karibu umwaibishe shetani mpe neno siku ya leo.
 
gehherhnjukimli;hasd sdbghhgf dgf b b
gs gdshh dnku l k;ldffdfdfhdhfdfhdhfhdffdh
 
Naona leo Pdidy ana nyuzi nyingi, kaanza kuandika toka saa nane usiku.
 
Last edited by a moderator:
Naona Pdidy umebadilisha kibodi...leo naona haupo katika ule ubora wako
 
Last edited by a moderator:
Haaahaaa niutulivu wa MB8 jamaani
 
Haiwezekani pdidy kuandika hv
Kaacha lini ile writing style yake? Pdidy kiibodi yake haina SPACE BAR
Sababu hii hapa:
Sitaki mazoea naweewe wala usinikumbuke tena sina shida nawewe tena

haya ni manenoniliomwambia shetani sikuyaleo
sijui wewe utamwambia nini karibu umwaibishe shetani mpeneno sikuyaleo
Inawezekana kashetani kalikuwa kana-control hata typing yake!
 
Back
Top Bottom