Huwa nina sikitika sana ninapokuta watu, wabantu kabisa wa Tandika, Gairo, Mlalakuwa na sehemu nyingi nyingine za Tanzania wakijiita mara mimi Arsenal, yule Liverpool, mara ManU zaidi, tena...
Nizar Khalfan aitwa Tottenham
Imeandikwa na Anatazia Anyimike; Tarehe: 13th May 2009 @ 10:37
KIUNGO mahiri wa timu ya soka ya taifa Taifa Stars, Nizar Khalfan ameitwa na timu ya Ligi Kuu ya...
Wenger vows to strengthen squad
BBC News Online
Arsenal boss Arsene Wenger will splash out in the summer after conceding he needs to strengthen his squad.
Last week's defeat by...
Mchezaji wa Liverpool Steven Gerrard amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2009 kupitia chama cha waandishi wa habari za mpira wa miguu cha Uingereza (FWA).
Hongera kaka Stevie
Selebuka nayo...
TAIFA STARS
DRC
mshambuliaji hatari wa kongo alain kaluyituka dioko
ambaye kaiua taifa stars leo kwa kufunga mabao yote mawili. kijana huyu mwenye umri wa miaka 25 anaichezea T.P Mazembe ya...
Baada ya Maxcimo kuchezeshwa Nzawisa na Chamukwale na kukubali kipigocha bao mbili bila na Bakongo, aliibuka jana na kudai kuwa wale mashabiki ambao walijitoa kimasomaso na kuibeza timu yake...
There is one sure thing: Euro 2008 in Austria and Switzerland starts with the opening fixture, the first game taking place on 7 June 2008 at Basle's St Jakob Park.
Another sure thing is that...
Champions League - Arsenal fan hangs himself
Eurosport - Wed, 06 May 15:38:00 2009
An Arsenal fan in football-mad Kenya hanged himself wearing his beloved team's shirt after their defeat to...
This is exactly what I would have said about this fight, najiandaa kukesha usiku wa leo, this is probably going to be the fight of the year, expect a lot of bomb explosions.....
I could provide...
Winga wa Yanga ya Dar es Salaam na timu ya soka ya taifa 'Taifa Stars', Mrisho Ngassa ameanza majaribio katika timu ya West Ham United ya nchini Uingereza, lakini kukiwa na wachezaji wengi...
Wakuu heshima mbele. Nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana jinsi gani makampuni mbali mbali yanavyojitokeza kudhamini timu kubwa mbili za soka Tanzania yaani Simba na Yanga. Si jambo baya ingawa...
Are you a professional African journalist or do you employ African journalists that could benefit from international training? Does your publication or radio station wish to receive free...
Je, ndoto ya Manchester United kuchukua makombe manne (4) mwaka huu kuanza kutimia leo?
Tuwe sote, bado masaa machache..
Kila la kheir Mashetani Wekundu.
Kenya face a nervous wait to see whether they will realise their dream of playing in the IRB Junior World Rugby Trophy final after securing a 67-0 victory with the crucial bonus point over Cayman...
Mimi sikubalianai na hii PFA award ya mwaka huu, Ryan Giggs? A player who has only started 12 games and scored one goal this season! Cha kushangaza ni kwamba hii award inatolewa kwa kura...
Nakumbuka huyu jamaa alikuwa anatisha kweli alivyokuwa Milan. Lakini alipojitusi nakwenda Chelsea, akapigwa benchi mpaka basi. Sasa sijui alipoteza confidence au vipi....??
Shevchenko to end up...
Jürgen Klinsmann sacked by Bayern Munich
• Former Germany coach fails to meet club's high expectations
• Jupp Heynckes to take charge for remainder of season
Jurgen Klinsmann looks...
yule straika hatari wa yanga ya daressalaam aliyetoa mchango mkubwa kule kampala, uganda na kupelekea yanga kuchukua ubingwa wa afrika mashariki na kati mwaka 1999 yupo wapi kwa sasa?
Huwa yule...
Alikuwa raisi wa kwanza wa Zenj. Nijuavyo mimi mzee huyu ndiye aliyejenga majengo ya klabu hizi. Jana tarehe 7/4/09 ilikuwa kumbukumbu ya kifo chake. Yanga v/s Al ahly mapato milioni mia mbili...