BARCELONA superstar Lionel Messi will be offered a new £8million-a-year long-term deal.
Barca also want a £255m buy-out clause in the 22-year-old's contract.
SOURCE: THE SUN
Wale wenye jeuri ya...
POLISI nchini Sweden wameapa kuwasaka wachezaji watano wa timu ya vijana ya Azam waliotokomea wakiwa nchini humo hivi karibuni.
Wiki iliyopita, wachezaji hao walitoroka na kuzamia kusikojulikana...
Msimu ndio umeisha na tumeshuhudia Barcelona,Manchester United,Porto,Inter,Bordeaux wamefanikiwa kuchukua ubingwa kwenye ligi zao na Barcelona wakafanikiwa kubeba Champions League.
Tayari baadhi...
Former England manager Sir Bobby Robson has died at the age of 76, following a long battle with cancer.
Robson will be best remembered on the international stage for leading England to the 1990...
CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimesema licha ya Mwakilishi wake Abass Juma Muhunzi kukaidi amri ya uongozi wa chama hicho kutokwenda Dodoma kushiriki katika michezo na timu ya bunge chama hicho...
Boniface Ambani asikitika kuikosa Ligi KuuNa Jessca Nangawe
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Kenya, Boniface Ambani huenda akakosa baadhi ya mechi za ufunguzi za Ligi kuu baada ya kupewa mapumziko...
Ndugu wana football, Jana boss wa mashetani wekundu amesema yeye haiwazii Man city na inaziwaza Liverpoll na Chelsea. Ingawa kuna timu zimtumia pesa nyingi kununua wacehezaji kama vile Man City...
Kama wewe ni mpenzi wa soka la Bongo hasa hizi timu za Simba na Yanga.. unaweza kupatwa na ugonjwa wa moyo hasa simba kwa miaka ya hivi karibu yaani wakikaa mwezi, mbila kungombana ni bahati na...
Fifa has fined the Ivorian Football Federation $47,000 following the enquiry into the stadium tragedy where 20 fans died in Abidjan in March. Football's world governing body imposed a series of...
TFF should handle ZFA outbursts better
Zanzibar Football Association (ZFA).
Early this week the Tanzania Football Federation (TFF) made a call to the regional soccer associations and...
HATIMAYE Shirikisho la Soka la Kimataifa, (FIFA) limesema kamwe Zanzibar haiwezi kupata uanachama kutoka kwake na inalitambua Shirikisho la Soka Tanzania, TFF pekee.
FIFA imetoa kauli hiyo muda...
Under 17 imeisha! Na kwa waliofuatilia angalau kwa mchezo kati ya Mjini Magharibi na Tabora basi atagundua kwamba nchi yetu ina hazina kubwa ya vipaji vya soka! Hata hivyo, pamoja na kuonekana kwa...
Somoe Ng`itu
Hatimaye juzi kipa mahiri nchini, Juma Kaseja alisaini fomu za kujiunga na klabu ya Simba kwa ajili ya kuichezea katika msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na mashindano ya...
RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza Watanzania kushuhudia fainali ya kuvutia ya michuano ya Copa Coca-Cola ambayo ilishuhudia Mjini Magharibi ikitwaa taji hilo baada ya kuilaza Tabora mabao 2-1...
First eleven ambayo ningetamani kuiona uwanjani ikitandaza kandanda
1. Claudio taffarel
2. Jorghino
3. Franco baresi
4. Fernando hierro
5. Paolo maldini
6. Luis figo
7. Pep guardiola
8...
Usiku huu Amir Khan ameweza kutwaa mkanda wa WBA katika uzito wa light welterweight kwa kumchampa kwa point aliyekuwa defending champion Andriy Kotelnik. Kwa kweli ameonyesha improvement kubwa...
Anyway, hii habari kidogo imepoa lakini nimeona bora niilete hapa. Hoteli ya Ritz Carton iliyolipuliwa leo asubuhi kule Jarkata Indonesia ndipo ambapo Man U walikuwa wafikie na kulikita kwa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.