Taifa stars vs Kongo vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa stars vs Kongo vipi?

Discussion in 'Sports' started by msabato masalia, May 9, 2009.

 1. m

  msabato masalia Senior Member

  #1
  May 9, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waungwana msaada tutani?Mwenye habari kuhusu chipkizi wa Maksimo na ''Ngwasuma(DRC)''!
   
 2. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,276
  Likes Received: 4,261
  Trophy Points: 280
  Walikuwa wameshafungwa moja bila
   
 3. A

  Amwanga JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Jamani matokeo vipi kati ya Stars na wakongoman
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  taifa stars wafeungwa kwa taaaabu saana 2-0
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Kufungwa ni kufungwa tu heri hata wangepata moja....2-0 ni aibu tena kwenu duu tunaidi kushuka chat kwa fifa....kazi kumngangania maximo.....anaendesha timu ya taifa kama klabu na bado....
   
 6. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Maximo aache uswahili. Awarudishe kundini Haruna 'Boban Maximo' Moshi na Athuman Iddi Chuji
   
 7. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni Mwalimu gani wa Mpira toka Brazil ameshawahi kuipa mafanikio team ya nchi nyingine zaidi ya nchi yao Brazil? Nashangaa tunamng'ang'ania Maximo! Hana jipya sasa na toka zamani
   
Loading...