Ni vute ni kuvute mara wachezaji wamenywanganywa simu mara kambi ulinzi mkali yanga kunako Kirumba majira ya saa kumi tarehe ya 2010-10-16, je yanga watachomokoa mbele ya mnyama aliyetuka kwenye...
Mnasoma sana habari za uchaguzi, hebu kuleni tano bora:
Wengi tunafahamu kuwa Reggae Music ni mziki wa Wajamaica. Ni moja ya miziki ambayo ilivumbuliwa kwenye STUDIO na siyo kwenye majumba ya...
Shirikisho La Mpira wa Miguu nchini (TFF) limemsimamisha kazi afisa habari wake, Florian Kaijage (pichani) kutokana na fedheha ya kushindwa kutimiza itifaki muhimu ya kupiga nyimbo za taifa...
Kwa wale wapenzi wa sposisis spotisisis..... Ghaaa sport ni kwamba kesho jmosi agape television network wataonyesha live mechi ya english premier league kati ya fulham na spurs, na huu ni mwanzo...
jamani hiki ni kichwa cha kawaida ama jamaa alibeba mizimu ya ufaransa..kichwa kimdondoshe hivi loh!!we zidane pumzika kwa amani kwa style hii mmh ulipokuwa unaelekea ungeingia na kisu uwanjani
TFF ni wajanja sana badala ya kushughulikia mambo mazito yakulidhalilisha taifa tena nyumbani kwa kufungwa na timu dhaifu ya Morocco wao wanaona suala la wimbo wa taifa ndiyo kivuno cha kutufanya...
Poleni na majukumu wadau, naomba nizungumzie kitu ambacho nimekiona na kimenikera wakati wa mechi ya taifa stars na morocco.
Kwanza: Utaratibu wa ukataji tiketi, hivi kweli kwa hadhi ya uwanja...
MOSES Kipsiro raced into the record books with Ugandas first double gold at a major international event yesterday.
He again defied a Kenyan onslaught, charging into the lead in the final 400m...
Kocha wa Simba FC Mzambia Patrick Phiri anatarajiwa kusign kuifundisha Azam FC mkataba wake utakapoisha mwezi November mwaka huu.
Source: Azam FC Official website
The bad omen of Stars losing the game started at the very outset, when CDs of the national anthems of two countries were nowhere to be seen, prompting the Tanzania Football Federation (TFF) to...
Kama kawaida nishafika uwanjani, timu zote zishaingia na zinapiga jaramba hawa Wamorocco wanaonyesha wako fiti na wepesi na wazee wa touch sana inabidi tutulie kama twahitaji kuondoka na...
Jamani hili linawafanya wengi hata kutokuwa na amu ya kuangalia mechi ule uwanja
hivi vyoo ukienda utasema wako tandale pili akuna watu wanaokuwa wakisafisha kila mara maana wanatakiwa wajue zile...
Tabia ya kuleta makocha wakigeni yaelekea siyo muarobaini wa kutufanya tutambe kwenye viwanja vya soka duniani lakini hatua hizi zaweza kutusoge za mbele ya hapa tulipo:-
a) Kutambua ya kuwa...
mhh hii hadithi hii sio ya kucheka . Klabu yenye mafanikio makubwa kama liverpoo inaweza kuingia kwenye matatatizo haya .
Klabu yenye mfanikio makubwa ndani ya uwanja kuliko hata asernal...
Wadau mechi ya jana imepita na kisago tumekishuhudia. Bado tuna mechi nne,mbili away na mbili nyumbani. Nafasi ya kufaulu bado tunayo? Ndiyo tunayo.Swali: Ushauri gani tuwape TFF wa kuboresha timu...
WanaJF, NAOMBENI mwenye kukumbuka vema anitajie kikosi kilichoifunga sports club villa ya Uganda mwaka 1991 au 1992. Enzi za akina Majjid Musisi, Hassan Hafif na Zamoyon Mogella. Pia nijulishen...