Tff tunaomba vyoo vya uwanja wa taifa viwe safi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tff tunaomba vyoo vya uwanja wa taifa viwe safi jamani

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Oct 6, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,726
  Trophy Points: 280
  Jamani hili linawafanya wengi hata kutokuwa na amu ya kuangalia mechi ule uwanja
  hivi vyoo ukienda utasema wako tandale pili akuna watu wanaokuwa wakisafisha kila mara maana wanatakiwa wajue zile pesa ni pamoja na usafi wa uwanja jamani...unaenda ****** unakuta kimba linakuangalia kama ngamia anasubiri maji ni haki kweli hi mh tenga??
  Embu this tym jitahd na wewe uje kujisaidia kule kwa walala hoi
   
 2. g

  gutierez JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Kweli pointi hii!
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Pdidy,

  Mkuu tunataka kumwonea Tenga bure ninavyojua uwanja wa taifa haumilikiwi na TFF.Mkuu uwanja wa taifa unamilikiwa na serekali TFF kutumia au kupeleka mechi haina maana wao ndiyo wamiliki ni sawa na kuilaumu TFF kwa viwanja vingine [viwanja vya mikoani] vilivyoporwa na CCM.Uwanja wa taifa una meneja[Matoke sijui kama bado anaendelea na wadhifa wa maneja wa uwanja] wake itakuwa vizuri kama utawasiliana na mamlaka husika
   
Loading...