Kocha wa Simba Parick Phiri kuhamia Azam FC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kocha wa Simba Parick Phiri kuhamia Azam FC

Discussion in 'Sports' started by Lucchese DeCavalcante, Oct 11, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kocha wa Simba FC Mzambia Patrick Phiri anatarajiwa kusign kuifundisha Azam FC mkataba wake utakapoisha mwezi November mwaka huu.

  Source: Azam FC Official website
   
 2. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Japokuwa si vema kuamini au kubishia kila kitu,acha hii kwa sasa ibaki kama ilivyo, wakati ule anatuzingua kurudi mpaka Kaburu akamfuata, alikuwa kabakiza miezi 3 ktk mkataba wake so kama hakukuwa na jitihada zozote za kumuongezea mkataba,basi tuamini kuwa kulikuwa na jitihada za kumkatisha tamaa ili aamue kutokusign tena.

  Lakini kwa vile source ni website ya Azam,basi yaweza kuwa ni udaku pia au nao wanatapatapa kwa vile wanakaribia kuingia ICU,tutasikia hapo baadae,japo Simba itabaki kuwa Simba with or without Phiri. Simba Sports Club --- Nguvu Moja!!!
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Mwache aende ban a aliondoka mourinho Chalsea itakuwa yeye bana.kwanza tuko bize na uchaguzi
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Walikuja makocha wangapi wakaondoka msijali watani ndio soka la utandawazi hilo
   
 5. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtu mzima atishiwi nyau!!
   
Loading...