Hapo hasira ilipanda kichwani,lakini tukiacha yote jamaa alikuwa bora na amechangia sana watu kuendelea kupenda soka japo nae "hakufunga goli 1000 na hakuchukua world cup mara 3"(jokes)![]()
jamani hiki ni kichwa cha kawaida ama jamaa alibeba mizimu ya ufaransa..kichwa kimdondoshe hivi loh!!we zidane pumzika kwa amani kwa style hii mmh ulipokuwa unaelekea ungeingia na kisu uwanjani