Ugandan beat Kenyans at Commonwealth | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugandan beat Kenyans at Commonwealth

Discussion in 'Sports' started by andrewsegawa, Oct 12, 2010.

  1. a

    andrewsegawa Member

    #1
    Oct 12, 2010
    Joined: Sep 21, 2010
    Messages: 30
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 13
    MOSES Kipsiro raced into the record books with Uganda’s first double gold at a major international event yesterday.

    He again defied a Kenyan onslaught, charging into the lead in the final 400m and sprinting to the finish in a pulsating Commonwealth Games 10000m final.

    Already with a 5000m gold in his shelf, Kipsiro had promised to keep the Kenyans under pressure in the 25-lap race –– and indeed he just did that.

    The Ugandan surged into the lead pack after four laps, keeping behind three Kenyans Daniel Salel, Joseph Birech and Titus Mbishei as he calculated his move. The Kenyans tried to interchange with the pace setter, but Kipsiro kept his rhythm before striking in the final lap.

    “They run as a team and that is the only way I would have beaten them. I am so joyous. Thanks be to God,” said the excited Kipsiro.

    The closest he ever came to yesterday’s feat was at the 2006 Africa championships when he won gold in 10000m and bronze in 5000m.

    Kipsiro, 24, was inspired for yesterday’s race by a phone call phone from President Yoweri Museveni after his 5000m triumph last week.

    He becomes the first runner to do the track long distance double since Cecil Matthews of New Zeland in the British Empire Games in 1938 (3miles & 6 miles)

    Kipsiro clocked 27:57.39 and was a long way off Kenenisa Bekele’s 27:17.53 world record but enough to break the Kenyan hold in the long distances in New Delhi.

    Kipsiro has emerged as a real star in the Indian capital because of being one of the few men able to tame Kenya’s distance runners.

    Muhammed Muruli was the only other Ugandan to win two gold medals in the Commonwealth Games, though not at the same edition. He won gold in the in Edinburgh, 1970 and another in New Zealand in 1972.

    Meanwhile, Benjamin Kiplagat finished fourth behind three Kenyans in the steeplechase while Janet Achola helped Uganda advance to the final of the women long relays.
     
  2. J

    Jafar JF-Expert Member

    #2
    Oct 12, 2010
    Joined: Nov 3, 2006
    Messages: 1,138
    Likes Received: 12
    Trophy Points: 0
    Mbona sijasikia Tanzania huko india au hatumo kwenye utajiri wa pamoja (commonwealth) ???
     
  3. M

    MkenyaMzalendo Senior Member

    #3
    Oct 12, 2010
    Joined: Sep 12, 2010
    Messages: 171
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Kipsiro?? Thats sounds like a Kenyan name, ama kuna wa-Kalenjin huko Uganda?
     
  4. A

    August JF-Expert Member

    #4
    Oct 12, 2010
    Joined: Jun 18, 2007
    Messages: 4,511
    Likes Received: 724
    Trophy Points: 280
    huyu jamaa alinifurahisha saana jana alivyo weza washinda wakenya 3 , mtanzania alikuwa wa sita au saba hivi, nilijikita zaidi na hawa wanne wa mwanzo walivyo kuwa wana pelekeshana, jama alivyo chomoza mkenya moja akajitahidi kumfuata alipoona anashindwa akawa anaangalia wenzake nyuma kwamba hawampi support, moja akajitahidi, lakini ilikuwa ndio hivyo amechelewa .
     
  5. BrainPower

    BrainPower Senior Member

    #5
    Oct 12, 2010
    Joined: May 19, 2009
    Messages: 149
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    Kusema Kweli Mbio za jana zilfurahisha. Walikuwa wanaongoza ni Uganda, Kenya (2, 3 n 4) wanapishana. Mtanzania alikuja watano Rwanda naye alikuwepo.Kwa kifupi Nchi za Africa Mashariki ndio zilikuwa zinatikisa.

    Ningefurahi Kama Tanzania tungeweza kutikisa katika michezo hii
     
  6. S

    Son of Alaska JF-Expert Member

    #6
    Oct 12, 2010
    Joined: Jun 2, 2008
    Messages: 2,813
    Likes Received: 102
    Trophy Points: 0
    Mimi sielewi Watanzania wenzangu mliopo nyumbani hili swala mnalionaje, Commonwealth games ambapo elite sportsman wengi duniani hawashiriki,Tanzania mpaka sasa hivi hawana medal !!!!!!!!!!.Kenya ana gold 8 na medali zingine.Uganda ana gold 2,sisi watanzania surely something is wrong-is it kwamba hatuna genes za michezo,swala la matayarisho i dont buy it,cause kenyans anatoka milimani leo kesho anashinda.Mimi naamini prowess katika sporting field kwa nchi nyingi za africa is directly related to development of a country.Kama COMMONWEALTH games is a mountain we cant climb why bother about the olympics.We should now switch our scarce resources to things that at least can produce a tangible result- Sometimes,believe me being a tanzanian comes at a price.
     
  7. A

    August JF-Expert Member

    #7
    Oct 12, 2010
    Joined: Jun 18, 2007
    Messages: 4,511
    Likes Received: 724
    Trophy Points: 280
    tatizo sio gene, bali viongozi wetu wanakosa kuweka mikakati ambao itazitoa hizo gene ziwe zinaleta matokeo mazuri, eg kuanzia grass root level, kutumia institution kama jeshi, polisi, magareza kuwa na kombania za michezo watu kama hawa wanaendelezwa, kuwa na academy za michezo, wakianza kupata mapato hao wanariadha basi nchi inarudisha fedha zake, pia tuna pata tija kutangaza nchi,
     
  8. Z

    Zinjathropus JF-Expert Member

    #8
    Oct 12, 2010
    Joined: Oct 5, 2010
    Messages: 1,114
    Likes Received: 60
    Trophy Points: 145
    On the other hand a TZ athlete got lapped on the same race. Havent we got the Kip(somen) surnames in TZ it appears the tribal people are blessed with the long distance running. They're the same people Kip(chogis) and Kip(siros) only separated by borderlines havent we got them in 'TZ' honestly we need to win something internationally.
     
  9. tzjamani

    tzjamani JF-Expert Member

    #9
    Oct 12, 2010
    Joined: Oct 9, 2010
    Messages: 997
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 0
    Mtanzania wa leo anatofauti gani na kina filbert bayi, steven axwari, nyumbai sulemani. TZ as a system ina components which depend to each other. Naamini uongozo umefeli and therefore mengi nayo down .......................................................
     
  10. A

    August JF-Expert Member

    #10
    Oct 12, 2010
    Joined: Jun 18, 2007
    Messages: 4,511
    Likes Received: 724
    Trophy Points: 280
    watu wa bonde la ufa kama singida, manyara/arusha naona wana faa maana desin hiyo ndio inafanya vizuri algeria na morroco
     
  11. Smatta

    Smatta JF-Expert Member

    #11
    Oct 12, 2010
    Joined: Nov 5, 2008
    Messages: 2,343
    Likes Received: 277
    Trophy Points: 180
    Nadhani ni management ya hizi federation, angalia Athletics Federation of Kenya, Kenya Rugby Federation Union, Volleyball Fed of Kenya e.t.c ziko sawa kwa sababu ya management, Kenya Football fed ama ni football Kenya ltd. ina matatizo chungu mzima na hii inachangia pakubwa kwa matokeo ya wanamchezo hao. Naona Tanzania inaweza toa wakimbiaji wengi wazuri, lakini tunafaa kufahamu kuwa scouts wanafaa kuwatafuta watu hao kuanzia vijijini, shule za msingi, hadi vyuo vikuu, ili kupata hizo talanta na kuzi nurture ziwe zenye faida miaka ijayo.
     
  12. N

    Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

    #12
    Oct 12, 2010
    Joined: Mar 23, 2008
    Messages: 251
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    One of the rare Smatta's positive comments on this forum!
    On this one I agree with you is something to deal with the organisation of the corresponding Federations.
    NN

     
  13. Nyaralego

    Nyaralego JF-Expert Member

    #13
    Oct 12, 2010
    Joined: Nov 13, 2007
    Messages: 732
    Likes Received: 2
    Trophy Points: 35
    Congratulations Moses Kipsiro you did UG proud. Actually congratulations to all the athletes representing their countries in the common wealth games.
     
  14. Mtazamaji

    Mtazamaji JF-Expert Member

    #14
    Oct 12, 2010
    Joined: Feb 29, 2008
    Messages: 5,972
    Likes Received: 33
    Trophy Points: 0

    Hili nalo neno Shule zinashindanishwa kwa matokeo ya Physics, chemirtry, language geography, ect.

    Sijawai kusikia Wizara ikisema Shule fulani inaongoza kuwa na wakimbiaji wazuri au shule fulani ina waogeleaji wazuri.

    Its unfair sometime kushindanisha shule kwa masomo ya darasni tu bila kutambua shule nyingi hazina resouces sawa lakini hatuwatendei haki watoto amabo hawana resources lakini wana vipaji vingine.

    Serikali itambue mafaniko ya watanzania sio mpak kila mtu afike chuo kikuu sio mpaka kil mtu asome biology.
     
  15. Wacha1

    Wacha1 JF-Expert Member

    #15
    Oct 12, 2010
    Joined: Dec 21, 2009
    Messages: 12,766
    Likes Received: 920
    Trophy Points: 280
    Its true he is a Kenyan. I think Uganda should not steal from their neighbour, its a shame this happened M7 should make sure that this does not happen again.
     
  16. Wacha1

    Wacha1 JF-Expert Member

    #16
    Oct 12, 2010
    Joined: Dec 21, 2009
    Messages: 12,766
    Likes Received: 920
    Trophy Points: 280
    Tangu lini ukaanza kujikombakomba? khe khe kheee Vipi umetawalika nini? Au ndio muda wa mawindo? Simba mwenda pole iko ...... .....
     
Loading...