Algeria vs taifa stars

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Jaman mwenye uhakika anisaidie kunijuza kama mechi hii itaweza kuonyeshwa live na channel zetu za kibongo,
 
Mpira utaanza saa 6 usiku kwa saa za Tanzania.
Utaonyeshwa moja kwa moja na TBC1 Tanzania na Canal Algerie ya Algeria
 
Danish Paulson warns
Elected Tanzanian For his part, did not come to Algeria, the structure of the walk, but came to make a surprise and to stand as equals on the team''Mondiyala'', which disclosed the coach Danish team Tanzanian Jan Paulsen, who once set foot in Mtarhuari Boumediene international even said ' 'Do not fear the Algerian national team and play to win, even though we face teams recently participated in the World Cup,'', before adding,''We attended a good method to this date and we will try hard to return to home at least a point''.
These data and although they are not encouraging, but the players and even national coach Rabah Saadane optimism left the door open wide, which is in abundance: a statement for''news'', said,''While we have no choice today but to win Tanzania, because the paper qualification of the third set to play in every interview and not in the interviews to Morocco and back''.
 
kwa anayefahamu jinsi ya kuipata online hiyo "Canal Algerie ya Algeria" naomba atujuze au kama kutakuwa na link yoyote yenye uwezekano wa kuonyesha hilo game pia naomba msaada wadau.
 
Habari Njema - hii ni Taifa stars baada ya Maximo, ni game yetu ya kwanza kabisa ya kiushindani chini ya kocha mpya. Niliwahi msikia kocha wetu akisema kuwa mfumo wa timu yetu utakuwa wa kujilinda na mashambulizi ya kushtukiza.

Nakubaliana na kocha wetu, timu lazima iweze ku defend kwanza kabla ya yote, kwa hiyo kocha mwerevu lazima afanyie kazi ulinzi - hapa nachukulia Jose Morihno. Sasa ukiweza kudefend vizuri unaangalie kwenye Midfield kwanza wasipoteze mipira hovyo (to keep ball possessions) ndiyo sasa hapo unahitaji watu kwenye kasi kwenye winga kama kina mgosi na ngasa, ukiweka na Nizar nyumba yao kama attacking midfilder basi inakuwa full mziki.

Watanzania tutegemee mabadiliko na uchezaji wa timu yetu - haya tusionge sana ngoja tucheki then kesho tutaongea zaidi, hapa nilikuwa naweka ndondoo tu.
 
Sio chache hizo!! nakumbuka tulipigwa gwala na the pharaos ambao nao walichezea moko kwa hawa desert fox..ila mpira sio hesabu..huenda wakawa fair sijui kipa wetu atasimama yupi kupunguza dhahama ya magoli..ila hawa juzi kati walifungwa na Gabon nyumban kwao katka maandalizi
 
Mmmh! Mbona mnakata tamaa hivyo? Mie naamini kama Stars watacheza ngangari kabisa tunaweza nyang'anya pointi hawa. Kuhusu website ni http://www.iraqgoals.tv/ch2.html ila inaongea lugha ya kiarabu. Sasa hivi navyoandika kuna mechi kati ya Etolia na Italia. Ikimalizika ndo "the big match" itaanza. Inshallah!
 
England 4 Bulgaria zero!! jamie Defoe kapewa mpira kwa hat trick alizokandamiza!!! ya stars inaanza soon tutakuwa tukitoa updates..nadhan chache .....
 
England 4 Bulgaria zero!! jamie Defoe kapewa mpira kwa hat trick alizokandamiza!!! ya stars inaanza soon tutakuwa tukitoa updates..nadhan chache .....

Senetor! Kwani mechi ya stars si kesho?? Data zangu zinaonyesha mechi kesho, I am not real sure with my data
 
Mda huu wimbo wa taifa wa bongo umeimbwa vizuri kweli mpaka nimependa sasa unapigwa wa algeria
 
Back
Top Bottom