White Man Can Jump ....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

White Man Can Jump .......

Discussion in 'Sports' started by Sikonge, Oct 15, 2010.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mnasoma sana habari za uchaguzi, hebu kuleni tano bora:

  Wengi tunafahamu kuwa Reggae Music ni mziki wa Wajamaica. Ni moja ya miziki ambayo ilivumbuliwa kwenye STUDIO na siyo kwenye majumba ya miziki / dance na baadaye kuletwa Studio. Ulifyatuliwa na ndiyo ukapelekwa kwenye Dancefloor.

  Ukiona Mzungu anapiga reggae hasa miaka ya 80 ilikuwa ni kioja. Walikuwepo wachache sana na sanasana waliofahamika ni UB 40. Reggae ilikuwa ni kama alama ya kusema "mimi navuta bangi" na hivyo ikawa ikiogopwa.

  Unapokuja kuona Mzungu anapiga Reggae na Mzungu mwenyewe .....................


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...