Taifa Stars na Afcon 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa Stars na Afcon 2011

Discussion in 'Sports' started by Bishanga, Oct 10, 2010.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Wadau mechi ya jana imepita na kisago tumekishuhudia. Bado tuna mechi nne,mbili away na mbili nyumbani. Nafasi ya kufaulu bado tunayo? Ndiyo tunayo.Swali: Ushauri gani tuwape TFF wa kuboresha timu yetu na hatimaye tufikie lengo la kucheza fainali zijazo za Afcon?
  Mimi naanza kwa kushauri yafuatayo:
  1. Kamati ya scouting(kama ipo) itafute striker mrefu mwenye nguvu na akili.
  2. Kamati ya scouting itafute kiungo mchezeshaji,truth be said Nditi hatoshei.
  3. Tunahitaji umati uwanjani,jana uwanja mtupu ,haifai kwa home game,viingilio vishushwe zaidi,la ikiwezekana sponsors wajaze watu uwanjani kwa kuwalipia tiketi au kuingiza wanafunzi na askari bure ikibidi,cha muhimu wanja lijae,maana siku zote homefans huwa ni mchezaji wa 12.
  4.Kamati ya scoutin(kama ipo) ikubali kujishusha na kupokea maoni ya wadau hasa waliobobea katika mpira na ambao wako mikoani,huko ndo kwenye vipaji.
  5.Tusikate tamaa
   
Loading...