TFF watakiwa kulipa viti uwanja wa taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TFF watakiwa kulipa viti uwanja wa taifa

Discussion in 'Sports' started by Saint Ivuga, Mar 8, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  Serikali yaitaka TFF kulipa gharama za jumla ya shilingi milioni tano kwa kuvunjika kwa viti 152 kwenye uwanja wa taifa siku ya mchezo wa SIMBA na KIYOVU
  source:JF
  hutaki acha
   
 2. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Bongo bongo mnatia aibuuu,mnaharibu hata viti vya mchina

  ki ukweli hii nchi inahitaji maombezi ya khali ya juu,haiingii akilini kwa mru kung'oa kiti ambacho kesho na keshokutwa atakuja tena kuvikalia na kuangalia mechi nyingine.

  Tuna watu wa ajabu sana jamani na hili si la kulichekea,hivi ktk kiwanja kile hakuna camera?

  wabongo ukiwachekea bwana matokeo yake ndiyo hayo
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  siku akienda uwanjani na kusimama dakiak 90 atailaumu serikali hadi mimate imtoke
   
 4. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  ndo manake hii vita ilitokana na mashabiki wapumbav wa *simba kutaka kujichanganya na mashabk wa yanga jukwaa moja kitu ambacho hakiwezekani popte dunian tim pinzani kukaa pamoja.uliona wapi manchesta na asenal wakiwa wamejichanganya jukwaa moja?*:smash:***:poa
   
Loading...