Michael wambura na kifungo cha maisha kugombea uongozi wa michezo.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michael wambura na kifungo cha maisha kugombea uongozi wa michezo....

Discussion in 'Sports' started by only83, Mar 9, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hallo wanaJF,

  Kamati ya uchaguzi ya TFF imemuangushia rungu zito mwana michezo M.Wambura kutogombea nafasi yoyote kwenye uongozi wa michezo maisha yake yote.Hii inatokana na tuhuma mbalimbali ambazo zimesemwa na kamati hii na kudai kuwa wambura sio muadilifu hata kidogo na kwa hiyo hafai kuwa kiongozi.Je,hii ni sawa?
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Pamoja na matatizo yake hawana haki ya kisheria kufanya hivyo......
   
 3. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Yote haya ni kwa sababu ya uchaguzi mkuu wa TFF wa December,2012......Kikatiba Leodgar Chilla Tenga hatagombea so anahitajika Rais mpya wa TFF.....Kuna watu wanaitaka kwa udi na uvumba nafasi hiyo na tishio kwao Ni Michael Richard Wambura......Hawataki Wambura agombee nafasi hiyo ndiyo maana wanajitahidi kwa kila wanaloweza kumzuia asigombee kwa kutoa sababu lukuki zisizo na kichwa wala miguu....

  Inasiktisha sana kuona mtu makini kama Leodgar Tenga anaendekeza upuuzi na fitna hizi zinazofanywa na akina Angetile Osiah, Boniphace Wambura, Deo Lyato na wenzake........Hii ni aibu sana kwa 'Sir' Tenga........

  Namuaminia sana Wambura,lazima awabwage tena kwenye sakata hili........Come December
   
 4. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kazi ipo
   
Loading...