Hat trick

Mputi

Member
Sep 9, 2011
52
7
Wkubwa naombeni mnijuze sheria inasemaje hapa, inakuaje pale wachezaji wawili au zaidi wakapiga Hat trick katika mechi moja? mpira anapewa nani?
 
wanagawana!mmoja anachukua gozi mwingine bleda!teh!teh!teh!anyway jibu ni kwanza kufikia goli la 3!tena usikae ukadhani mchezaji akifunga 6 anapewa mipira 2!ni suala la kutambua tu ulichofanya kuliko mahesabu!
 
Back
Top Bottom