Timu ya Taifa ifundishwe na Waandishi wa Habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Timu ya Taifa ifundishwe na Waandishi wa Habari

Discussion in 'Sports' started by engmtolera, Mar 1, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana Jf
  Katika nchi yetu ya Tanzania tumekuwa ni watu wa kubadilisha makocha kila siku iendayo kwa mungu,tumekuwa ni watu wa kuongea sana mdomoni na kuwapangia kazi makocha wetu wa Taifa kwa kile tuonacho ama kitufurahishacho

  Baada ya kutoka draw ya moja kwa moja na timu kutoka Mozambiq the mambas waandishi wa habari waliowengi wame kuwa wakimlazimisha kocha kumpanga mbwana samata kana kwamba ndiye mchezaji pekee ambae kama angeingia uwanjani basi angeweza leta mabadiliko,na waandishi hao wamekwenda mbari zaidi kwa kumtaka kocha wetu wa Taifa kuachia ngazi kama hawezi kufuata kile wanacho mshauri

  Hii ina nikumbusha mbari sana,pale waandishi hao hao walipo weza kuweka chachu na kumfukuza kocha mahili kabisa kutoka brazil MAXIMO,kwa kumalazimisha awapange akina kaseja na mwisho wa siku Maximo aliyekuwa akitupa raha kufungasha vilago na kuondoka.

  Nina sema kuwa timu hii wapewe waandishi wa habari kwani wamekuwa wakishinikiza kocha wenu kuwapanga wacheza ambao kwake yeye kocha mwenye taaluma anaona kuwa hawana nidhamu na hawafai kujumuishwa ktk kikosi chake

  kwa mfano
  kocha amesema hawezi kumpanga mbwana samata ktk mechi kwani yeye amekuwa na tabia ya kuto kutoa basi na kupiga chenga hata mahali pasipo stahili,na akawaeleza ukweli kabisa waandishi wa habari kuwa hawezi kumfundisha mbwana kwani hafundishiki,lakini waandishi hao waliendelea kumweleza kocha kuwa kama hawezi kumfundisha basi aachie ngazi,ikimaanisha kuwa waandishi wa habari hawajui kuwa kocha wa taifa kazi yake si kumfundisha mcheza alifu ya mpira.

  Tangu awali nilisha sema mpira si lelemama,mplra si pen na karatasi,mpira si maneno mdomoni

  mpira ni vitendo

  Tuwekeze ktk mpira,tuandae vijana na tutengeneze miundo mbinu ili tuweze kufikia malengo tunayo yataka

  Tuelewe kuwa akina Yahya troule ama kina ayew hawakuzinduka tu na kuanza kuchezea timu za ulaya,walitoka ktk vyuo vya michezo na mwisho wa siku wakawa ni wachezaji bor na wakujivunia

  lakini Tanzania tunalazimisha,mtu katoka vuta avutacho,kwa kuwa anaweza danadana ya mguu mmoja basi tunataka awe mchezaji mzuri tena aliongoze Taifa letu hiyo haitoweza tokea hata siku moja

  ndugu zangu waandishi

  tuandae vijana tangu awali na tuwekeza ktk michezo hapo ndipo tutapata timu bora

  la sivyo kila kocha akija itakuwa ni fukuza fukuza
   
 2. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Bila ya waandishi wa habari dunia haingejengeka. Wao ndio wanaoelimisha jamii kwa kukosoa na kutoa maoni yao. Kama maoni yao yana ukweli basi ni lazima jamii ilalamike na kutaka mageuzi kama maoni yao ni ya uongo basi jamii itayatupilia mbali.

  Huyu kocha hastahili kabisaa kuifundisha Timu yetu ya Taifa stars. Mbwana samata anatoka katika klabu kubwa barani africa yenye mafunzo ya hali ya juu. Hivyo kila akiona jinsi wanavyojpanga katika Taifa stars hukikuta anacheza kibinafsi kwa sababu ya udhaifu wa mafunzo ya kocha wetu mwenye nguvu za SIDO.

  Mbona TP mazembe hupata namba na hufunga magoli na ni kipenzi cha walio wengi Lubumbashi? Huyu kocha lazima afukuzwe hapa nchini kwa sababu ni mbabaishaji sana na hatatupeleka popote.
   
 3. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  me napendekeza kocha awe Kitenge msaidizi wake awe Edo Kumwembe
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Lakini pia ufungaji wa magori unategemea sana mfumu wa uchezaji kama unakumbuka Man u walikuwa na mchezaji ambae yeye kazi yeke ni kusubiri wachezaji watengeneze na mwishowe humalizia kilichotengenezwa na hiyo inatokana na wachezaji ulionao

  Je Timu ya Taifa ama Tanzania kwa ujumla tunawachezji sampuli ya Gibson Semburi?
  Unadhani fukuza fukuza ya makocha ndio sululisho?
  Tangu tuanze fukuza makocha kuna mafanikio yeyote tuliyo yapata?
  Je ni kweli kuwa tatizo ni kocha na wala si wachezaji?
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hahahaha

  Tatizo tunadhani mpira ni maneno na kuonyesha vidole na kuelewa historia kwa sana.

  kama hatuta wekeza ktk mpira tangu awali tutakuwa tunapiga kelekele na kubadirisha makocha kila siku iendayo kwa mungu
   
 6. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,276
  Likes Received: 4,260
  Trophy Points: 280
  Sema aletwe kocha gani apewe timu sio unalilia tu kocha afukuzwe,ukweli tuna matatizo mengi sana kwenye uongozi na wachezaji hasa kwenye klabu zetu zina viwango duni na wachezaji wazawa hawapewi nafasi ukilinganisha na wageni.Hispania hata hawapati shida wao wanachukua vijana ambao wanaelewana wa pale Barcelona hata wewe ukiwa kocha timu inashinda
   
 7. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kocha.anawezakuwa.huyohuyo.babu,mradi.tu.abadili.falsafa.yake.ya.kujihami.mpaka.kwenye.mechi.za.kujipima.nguvu.na.kufanya.timu.iwe.inashambulia.

  Matokeo.yake.nikuwa.mshambuliaji.anapobaki.peke.yake.pale.mbele.na.kujikuta.amezungukwa.na.mabeki.watatu,huwa.hana.namna.ya.kufanya.zaidi.ya.kujaribu.kuwapunguza.kwa.kupiga.chenga,na.akishinwa.ndo.shida.inaanzia.hapo
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  benchi la ufundi kina shafii na ibra mbwiga muhamasishaji labda tunaweza kutoa droo..
   
 9. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Falsafa ya kocho,na ufundishaji wake kwa ujumla kwa upande wangu mimi nalidhka nao,kwa magoli aloya kosa boko kwnye mechi ile na mambaz ilinishawish kua hata akija morinho msaidiz wake akawa gadiora,bench la ufundi akawepo fagerson na hurry redknap,akuna taifa stars watakacho fanya iwapo wachezaji wnyewe kwanza hawata jituma na kutambua ni nini wamefuata uwanjani,nadhani kama yangekua makosa ya kocha leo asubuhi boko asinge waomb mashabki msamaha,rogerthat.
   
 10. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Falsafa ya kocha,na ufundishaji wake kwa ujumla kwa upande wangu mimi nalidhka nao,kwa magoli aloya kosa boko kwnye mechi ile na mambaz ilinishawish kua hata akija morinho msaidiz wake akawa gadiora,bench la ufundi akawepo fagerson na hurry redknap,akuna taifa stars watakacho fanya iwapo wachezaji wnyewe kwanza hawata jituma na kutambua ni nini wamefuata uwanjani,nadhani kama yangekua makosa ya kocha leo asubuhi boko asinge waomb mashabki msamaha,rogerthat.
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Waandishi kama wadau wana mchango wao katika timu.Tabu kocha mbishi na hana mbinu mbadala yaani Plan B.
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tuna matatizo mengi lakini na kocha naye ni tatizo. Kipindi cha Maximo alikuwa anzingatia sana umri katika kuchagua timu ya Taifa na alikuwa anasema wastani wake ni miaka 23 . Ndio wakatoka hawa kina Tegete, Ngasa, Juma Jabu, Kigi Makasi , Zahoro Pazi nk sasa huyu babu yenu yeye kakazania tu wachezaji wale wale wala hatuoni mabadiliko. Na kipindi kile mimi nakumbuka tulikuwa tunajitahidi mechi za home tunafunwga away.

  Kuna yule mchezaji mchovu sijui Machupa alimng'ang'ania weee jamaa hata akibaki na goli hawezi kufunga.

  Samatta anastahili kuwepo kwakuwa hatuna wachezaji wengine.
   
 13. F

  Ferds JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mimi kwa mchezo wa juzi sioni koha alipokosea, na waandishi wa bongo nawafananisha na wa uingereza, kazi kelele, ukija ktk mavipindi yao kelele tu, yaani kazi zenyewe hawawezi kufanya basi tabu tubu, wakinyimwa geti pasi waniponda TFF, yaani tabu tu................sio siri jamaa wanakera sana
   
 14. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Plan B unayoitaka wewe ni ipi sasa? maana wao waandishi kwao plan B ni kocha aondoke hana msaada,na je tutakuwa tunafukuza makocha mpaka lini?

  kwanini tusijifunze kwa wenzetu mfano zambia ama ghana? kwanini tumekuwa na tabia ya kuwapangia makocha timu tuipendayo?
   
 15. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hehehehehe
  umenichekesha sana mbwiga yeye kazi yake ni kutaja vikozi vya kale hivi unadhani kukalili historia ni sawa na kuifundisha timu,wale ni wachekeshaji na kamwe hawawezi kuwa makocha
   
 16. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Ajabu sana hawa jamaa, sikiliza wanavocopy habari kuhusu ligi ya England mimi hapo ndo huuona ujuha wao na bahati mbaya mno radio na television za hapa nchini zinatumika vibaya kwa kupoteza muda mwingi kuelezea soka la England kuliko habari za hapa kwetu.
   
Loading...