steven gerrard "ana mimba"?

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,641
3,675
nafungulia tv yangu hapa!naona steven gerrard anatoka uwanjani anafuraha sana!nikiangalia tumbo lake naona kubwa kama mjamzito!nijuzeni wakuu!maana nimezima tv ghafla kwa kuogopa!
 
nafungua jf naona umepost uzumbukuku wako hapa nikiangalia akili yako naona ina UJI wakuu nijuzeni nimetoka thread hii ghafla kwa kuogopa
 
ana mimba ya miezi mitatu mkuu! Ndo anaenda laber kaka...
 
nafungua jf naona umepost uzumbukuku wako hapa nikiangalia akili yako naona ina UJI wakuu nijuzeni nimetoka thread hii ghafla kwa kuogopa

natumia simu kidude cha like sikioni!anyway i like your comment!umenielewa?
 
Itakuwa umemuona mmiliki wa timu akiwa amevaa jezi yenye jina la Gerrard, so kitambi ukadhani ujauzito.
 
natumia simu kidude cha like sikioni!anyway i like your comment!umenielewa?

Nawe umei like nini sana sana??
Comment ipi imekupendeza?
Tumia ubongo kutafakari we dogo!

Kuwa mshabiki mzuri!

Utafikiri unatumia masaburi kuwaza..........Mmmmmmhh!

Raia wengine mizigo tu!
 
Nawe umei like nini sana sana??
Comment ipi imekupendeza?
Tumia ubongo kutafakari we dogo!

Kuwa mshabiki mzuri!

Utafikiri unatumia masaburi kuwaza..........Mmmmmmhh!

Raia wengine mizigo tu!

liverpoolfc!watu sio tu wanatofautiana uwezo wa kuelewa bali pia kiwango cha kujieleza!wakati mwingine unaweza usimuelewe mtu si kwamba uelewa wako ni mdogo ila uwasilishaji wa mtoa mada ni level ya juu kuliko uelewa wako!siku moja utajua nina maana gani kwa hili nililolisema!

kifupi,jamaa nimemtukana bila kutumia matusi!
 
naomba nifafanue nilichouliza-jamani nimemuona steven gerrard kaweka mpira ndani ya jezi yake mbele kwenye tumbo kuashiria ujauzito!je mkewe ni mjamzito?au kajifungua?kwa anayejua aniambie!
 
hiyo ilikuwa ni jana usiku mechi ya liverpool na everton ambapo liver ilishinda 3-0 bao zote kafunga gerrard ndio akaondoka na mpira na kuuweka tumboni ndani ya jezi yake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom