Mamelodi Sundowns yashinda 24-0 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamelodi Sundowns yashinda 24-0

Discussion in 'Sports' started by Mphamvu, Mar 6, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ushindi huo mnono katika historia ulipatikana juzi Jumapili, 4 Machi katika mechi ya raundi ya 32 ya kombe la Nedbank kati ya Mamelodi Sundowns na timu ya daraja la nne ya Powerlines FC huko mjini Kimberly, Afrika Kusini. Mpaka wakati wa mapumziko, Sundown walikuwa mbele kwa goli 10-0, kipindi cha pili waliongeza mengine 14 na kufanya matokeo kuwa 24-0 mpaka mwisho wa mchezo. Ilikuwa siku nzuri kwa Hlompho Kekana aliyefumania nyavu za wenyeji mara sita katika na kutangazwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huo...
  Zaidi: http://www.sundownsfc.com/news/article/120304/Downs_thrash_Powerlines_in_rec ord_win
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Hapo ingekuwa Yanga wangepigwa 30-0.......poor guys
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280


  Watu wengine kwa kupenda uchokozi!
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa walikuwa wanacheza sita uwanjani? Si wangefunga hapa kwa mkono?
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mie simo mkuu... Ngoja kina Balantanda waje!
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Basi tu inatokea game imewakataa, afu mnakufa za kutosha.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Halafu CCM sana yule......mwache aje
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuacha ya wanamagamba kwa muda.
  Vipi, leo Arse-8 wanatoka au ndo yatakuwa ya Powerliner vs Mamelodi?
   
 9. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Huo mpira wa kikapu au?
   
Loading...