"JF Sports Man/Woman Of The Year 2011" Competition | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"JF Sports Man/Woman Of The Year 2011" Competition

Discussion in 'Sports' started by Superman, Mar 5, 2012.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Angalizo: Mods kwa hekima mnaombwa msiiamishe thread hii wala kuichanganya na nyingine yoyote.

  Wanajamii; Wana JF

  Mwaka 2010 tulifanya mchakato wa kumpata JF Man & Woman of The Year 2010. Shindano kama hili pia lilifanyika Mwaka 2009.


  • Washindi wa 2009 "JF SuperLady" au "Celebrity wa JF" alikuwa WoS (Woman of Substance)
  • Washindi wa 2010 "Regia Mtema" (RIP) - Kwa JF Woman of the Year 2010
  • na Nyani Ngabu kama "JF Man of The Year 2010"

  Mchakato wote mpaka mshindi kupatikana unaweza kuupitia hapa:
  https://www.jamiiforums.com/complaint...ar-2010-a.html

  Mwaka huu tunataka kuuboresha mchakato huu na tunapenda kupitia mchakato huu kupata washiriki wengi na kuipa taswira JF kuwa kuna watu wanafakubalika katika hii online community.

  Mwaka huu 2012 tunafanya mchakato wa kuwapata Washindi wa 2011 (lakini michango yao ya sasa inakubalika iingizwe 2011).Tulichelewa kufanya kwa sababu zilizo nje ya uwezo. Mwaka huu tumeongeza na tutakuwa na Category ya:


  • JF SPORTSMAN OF THE YEAR 2011 na
  • JF SPORTSWOMAN OF THE YEAR 2011

  Mchakato wa kuwapata washindi ndiyo unaanza sasa.Katika mchakato wa awali tutapendekeza majina mbalimbali katika category hii kulingana na unavyoona mhusika anakubalika na mwishoni tutachagua watatu kutoka katika kila category na kisha kuwapambanisha kupitia JF POLLS. Mwaka huu napendekeza tutoe zawadi yenye hadhi fulani kwa washindi ili kutoa changamoto za umakini katika mabandiko haba jamvini. Tutajulishana zawadi hizi tutakapoingia katika mchakato wa Kupiga kura.

  Vigezo vifuatavyo vizingatiwe katika kutoa mapendekezo ya watakaoshindanishwa katika hizi KURA ZA MAONI:

  1. Kama ni category ya WOMAN lazima uwe umemdhania kuwa unayempendekeza ni Mwanamke na una ushahidi wa Kimazingira. katika hali ya mashaka, uhakikisho wa jinsia kutoka kwa muhusika aliyependekezwa utafanya akubalike. Uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi - JEC (Superman) ya Shindano hili utakuwa ni Final. wote mnahakikishiwa hakutakuwa na Uchakachuaji.

  2. Kama ni category ya MAN lazima uwe umemdhania kuwa unayempendekeza ni Mwanaume na una ushahidi wa Kimazingira. katika hali ya mashaka, uhakikisho wa jinsia kutoka kwa muhusika aliyependekezwa utafanya akubalike.

  Katika 1 na 2: Uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) wa Shindano hili utakuwa ni Final. wote mnahakikishiwa hakutakuwa na Uchakachuaji.

  3. Anayependekezwa lazima kuwe na ushahidi unaoonyesha kuwa ni Mwana JF aliyebobea hasa kutokana na Threads alizozianzisha na pia post anazobandika. Vyote lazima viwe na impact chanya kwa wasomaji wa JF.

  4. Awe ni mwenye uwezo wa kusimamia hoja zake na kuzijibu kikamilifu bila jazba na kwa umahiri wa hali ya juu pale ambapo anapata challenge toka kwa wachangiaji.

  5. Awe ni mwenye ushawishi wa hali ya juu katika mabandiko anyochangia walau kwa muonekano wa wachangiaji kuunga mkono hoja zake.

  6. Kwa Wanaogombea Overall tittle, asibobee kwenye Jukwaa moja tu. Walau awe mchangiaji mzuri wa majukwaa yasiyopungua mawili. Kwa wale wanaopendekezwa MMU basi akubalike katika jumuiya ya MMU

  7. Asiwe mtu wa shari katika majibizano kiasi cha kupelekea Mods kumpa "BAN".

  8. Aonekane wazi katika mabandiko yake anaweza akahisiwa kuwa Kiongozi Mzuri.

  9. Awe Mchangiaji ambaye ni active walau mara moja kwa wiki. Ikiwa zaidi ni vizuri zaidi.

  10. Awe ni mtu asiyeogopa kukemea mabandiko yenye lengo la kutukana, kudhalilisha, kubagua, kuleta mfarakano na kutokuelewana baina ya wanachama wa JF.

  Sasa kila moja yuko huru kutoa mapendekezo yake ya nani wanastahili kuingia katika tatu bora katika kila category.

  Angalizo: Washindi wa Miaka ya Nyuma ni Macelebrity tayari hivyo hawaruhusiwi kupendekezwa.

  Nashauri kuwa mapendekezo ya majina yaambatane na maelezo mafupi.

  Uwanja ni wenu. Karibuni sasa mto mapendekezo au NOMINATIONS.

  Zingatia: ID za kuchakachua haziruhusiwi: i.e ID ambazo ni mpya kabisa na zimetengenezwa kwa ajili ya kupiga debe na kuongeza kura tu na ID zilizokuwa hazitumiki muda mrefu na sasa zimeibuka ghafla:

  Unapofanya nomination yako andika kabisa, Unamnominate nani na kwa title gani:

  Mfano: "Superman awe JF Male Soprtsman of The Year 2011" NB: Pls msimchague Superman huu ni mfano tu.


  Wasalaam
  [​IMG]
  Signed & Sealed:

  Superman

  Mwenyekiti - Tume Ya Uchaguzi ya JF (JEC)

  [​IMG]
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hiki ndicho wanamichezo tulikuwa tukikisubiri!!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  pendekeza jina acha siasa.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  hapa nampendekeza mtani Balantanda.
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ninampendekeza afrodenzi awe JF Female Soprtswoman of The Year 2011
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  hapa Afrodenzi .....mtaalamu wangu wa Rugbi lazima awepo na nampeendekeza
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Asante sana Mkuu kwa kuunga mkono pendekezo. Kura mbili tayari, tuendelee kumpigia debe - lol.
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Male: Saint Ivuga
  Female: Afrodenzi
   
 9. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  mwe...mwali hii sehemu sio yangu kabisa kama hujui sasa hapa kuna wenyewe wanalala huku ..mimi nimekunywa maji ya simba tu basi
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ninaunga mkono uteuzi wako Mwali.
   
 12. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hata kunywa maji ya Simba ni sehemu ya "Sports".
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kuna peasant, punain red, belo, arsene wenger, kibunango, afrodenzi,
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,966
  Likes Received: 23,853
  Trophy Points: 280
  Mate wangu MTM.

  We never walk alone.

  Kwa mabibie... Afrodenzi.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  vere right mate... we will take afrodenzi all the way, it is always special to see a lady loving sports
   
 16. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,931
  Likes Received: 1,465
  Trophy Points: 280
  Nampendekeza Afrodenzi na Wacha1
   
 17. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Man Balantanda
  woman Afrodenzi
   
 18. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Hahahaha Ngwanza huko huwa napita tu usiharibu
  Mambo yote AD
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Woman- Afrodenzi. . .
  Man- Balantanda. . .
   
 20. S

  Saas JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna mdada anaitwa Belinda Jacob nampendekeza pia huwa namuona sana kwenye mpira hasa EPL (English Premium League)...
   
Loading...