Kwani kuwa na kocha mzungu imekuwa fasheni? Mpeni timu Felix minziro analijua soka la bongo na mazingira yetu na anauchungu na timu yetu kuliko hao wahindi
BBC Sport reports that Brendan Rodgers has agreed a deal to become the new manager of Liverpool Football Club.
The 39-year-old will sign a three-year contract at Anfield and his appointment is...
Belgian superstar has delivered a snub to Premier League champions Manchester City and their rivals Manchester United by opting to join the Stamford Bridge club
By Greg Stobart
May 28, 2012...
Heshima mbele wakuu,
Zaidi ya timu za mpira 20 nchini italia zitataarifiwa kuwa zinatakiwa kuchunguzwa baada ya tuhuma za kupanga matukio kufikia hatua mpya.
alivyokaa utadhani kafungwa...
Kwa habari za uhakika na kuaminika ni kwamba simba fc baada ya kurejea toka sudan watafanya sherehe ya nguvu kwa ajiri ya kusherehekea ubingwa wa tanzania bara baada ya kuwanyuka watan wao wa...
Ningekuwa mi nipo nafasi aliyopo wenger kweli nisingekwenda nunua wachezaji wanaotaka pesa nyingi za mshahara na transer fee bali ningeopt kumnunua Clint Demsey akaja ziba nafasi ya Benayoun...
Sijui ni tatizo la nani kati ya TFF na CAF. Kwenye website ya CAF: Tanzania Football Federation (FAT) - Tanzania
Kuna timu tano tu za Tanzania - Young Africans, JKT Ruvu, Moro United, Prisons na...
After 78 of 78 laps
Position
Driver
Team
Fastest lap: S Perez 1:17.296 on lap 49
1
Australia
M Webber
Red Bull
2
Germany
N Rosberg
Mercedes
3
Spain
F Alonso
Ferrari
4
Germany
S Vettel...
Kama makocha tumebadilisha na bado timu inayumba inamaanisha tatizo lipo sehemu nyingine kwenye hii timu. Na mimi binafsi nadhani na uongozi, sidhani kama kuna separation of power naona...
Wadau naomba tujadili hili suala la olimpiki na ushiriki wa nchi yetu ya tanzania. Mpaka sasa sijasikia chochote kuhusiana nalo. Haijulikani ni wanamichezo gani wanaokwenda na timu, viongozi...
Leo saa 4 usiku ni fursa nyengine kwa Gardiola na Barca yake ili kuthibitisha kuwa ama ilikuwa ni kusuasua kwake mwaka huu bahati mbaya tu au ndio mwisho wa "Golden Era".
Filimbi ya mwisho...
Jamaa kaona isiwe tabu kaamua kusepa na kuachia madaraka kwa shingo upande. Ametangaza hatua hiyo ofisini kwake (Sio klabu ya Yanga Jangwani) muda wa saa 10 jioni huku tukio hilo likiwa...
Jana wakati nasikiliza kipindi cha michezo radio one nilisikitishwa sana na kauli ya kiongozi wa wazee Akilimali wa yanga ambao watanzania tulitegemea wangetumi busara zao kufanya maamuzi kwa...
As a Liverpool supporter, I have all reasons to believe that having Rafael Benitez back as a coach at Liverpool is crucial to turn around and bounce back to be among the Premier league's top...
Naomba mnisaidie ktk hili,nimesoma ktk web ya Mwananchi nikaliona jina la Kim Paulsen kama kocha mpya wa Taifa stars aliyechukua nafasasi ya Juan Paulsen! Hawa ni ndugu? Au majina yamefanana tu!
Inabidi waganga wetu akina profesa Maji marefu na d Kifimbo
wakajitangaze UK...
kuna biashara kubwa kumbe
Mario Balotelli and Samir Nasri take to voodoo to help Man City win title | Metro.co.uk
Olympic beach volleyball team stop traffic in London's Parliament Square sporting briefs and bikinis
British squad pose in bikini tops and briefs
Stunt designed to highlight how busy Londons...
Bacelona striker David Villa has broken his left shinebone in the FIFA club world cup semi fainal against Al saad...30 years old was carried of the stretcher six minutes before half-time after...