Timu kuchunguzwa kwa upangaji matokeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Timu kuchunguzwa kwa upangaji matokeo

Discussion in 'Sports' started by omujubi, May 9, 2012.

 1. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Heshima mbele wakuu,

  Zaidi ya timu za mpira 20 nchini italia zitataarifiwa kuwa zinatakiwa kuchunguzwa baada ya tuhuma za kupanga matukio kufikia hatua mpya.

  _59452516_014421869-1.jpg
  …alivyokaa utadhani kafungwa kweli kumba kaachia mpira upite.


  Source: BBC News - Italian football clubs face match-fixing probe

  My take:
  Wenzetu wanaweza kupata maendeleo kimpira kwa vile wako makini sana kwenye tuhuma zozote zinazoibuka. Wanaweza kuchunguza na ukweli ukijulikana wanautoa hadharani badala ya USWAHILI uliokithiri katika mpira wetu
  Haya mambo ya ‘uuzaji wa mechi’ yamekuwa yakiongelewa sana hapa nyumbani na hata kufanyika. Nimesikia hata watu wengine wakiongea juzi baada ya Yanga kufungwa kuwa uongozi wa Yanga haukufya maarifa ya ‘kuwaona’ baadhi ya wachezaji wa Simba na wengine wakiwemo wachezaji wa zamani wa Yanga wanasema kuwa Simba walionga wachezaji wakaachia magoli yale 5!

  Nawasilisha
   
 2. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  mi mpenzi wa yanga lakini sikubaliani kwamba simba waliwahonga wachezaji wa yanga.kama uliiona ile mechi utakubaliana na mm!
   
 3. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mkuu nakubaliana nawe kwa maana issue ilikuwa ni madai ila vyombo husika vingeliingilia kati (labda) ingesaidia kuondoa hayo mashaka na kukubali kuwa Simba walikuwa katika form nzuri msimu huu japo nao 'uswahili' huo huo umewaondoa katika mashindano ya Kombe la Klabu bingwa ya bara.

   
 4. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Sasa angalia hapa, hawa jamaa wameenda mbele zaidi na muda sio mrefu wamemkamata hutu jamaa. Inabidi a-testify beyond doubt kuwa hakuhusika then ndio aachiwe!
   
 5. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,034
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Kwani wewe ulienda uwanjani. ukweli upo wazi kuwa ile mechi iluzwa ama ilifanyika makusudi fulani kumkomoa mtu. Angalia magoli ya Penalti zilikuwa za makusudi kabisa ili wafungwe, wachezaji wa Yanga waliuza mechi kabisa. Goli moja wapo nafikiri la pili ama la kwanza mabeki wa Yanga walipasiana kuelekea golini kwao si kitu cha kawaida katika maechi kama hizo.

  Nawsilisha mkuu.
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Na Nsajigwa lazima apande kizimbani pambav zake hata lile limbunge lao lililolala reception nalo lishtakiwe linapenda sana hongo kwa sababu limezoea.Aghhhh wapi takukuru
   
 7. RR

  RR JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  @Mzinga, sioni 'motive' ya Simba kuhonga wachezaji wa Yanga ile kushinda mechi ile...Simba alishakua bingwa kabla ya mechi....
  Kama kwa vyovtote vile kulikua na hujuma kwa Yanga, basi itakua ni hujuma toka ndani ya Yanga wenyewe (ushahidi wa kimazingira); wazee kumpinga Nchunga na kuvua kofia (siku chache kabla ya mechi) ni kuelezea 'motive' ya hujuma!

   
 8. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ndio maana mzee Akilimali akasema ni bora tumu ife kuliko kuongozwa na Nchunga ambaye sio Simba bali Yanga mwezake!?

  Alafu mtu mwenye mawazo ya chuki kama hizo za waziwazi anachekewa tu. Ni wazi kuwa itatuchukua muda kupiga hatua kimichezo

   
 9. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  nyie ndo mnaoleta migogoro ndani ya vilabu ,kila timu inapofungwa mnamtafuta mchawi.Kwani arsenal walihongwa na man u hadi kupigwa 6? ACHA POMBE WW
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mpira huu na bado bongo sasa..
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  anaweweseka huyu
   
Loading...