SIMBA FC kusherehekea ubingwa ndani ya ukumbi wa DAR LIVE.

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,128
2,000
Kwa habari za uhakika na kuaminika ni kwamba simba fc baada ya kurejea toka sudan watafanya sherehe ya nguvu kwa ajiri ya kusherehekea ubingwa wa tanzania bara baada ya kuwanyuka watan wao wa jadi jumla ya ndonga tan mtungi.

Sherehe hizo zitanogeshwa na burudan toka kwa msanii JUMA NATURE,dogo MFAUME,banza STONE,
na msondo NGOMA
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,399

Hakuna timu inaitwa Simba FC itakayosherehekea ubingwa wa Ligi kuu ya Tanzania Bara.
Hayo ndio madhara ya kukurupuka.
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,399
2,000
Nafikiri hii ni typo tuu alimaanisha Simba Sports Club (Taifa kubwa)

Taifa kubwa halina uwanja wa mazoezi...
Taifa kubwa kila kukicha bakuli mitaani...
Taifa kubwa mnadaiwa pesa ya chapati mlizokula miaka 6 ilopita...
Hebu ufike wakati sasa mmalize madeni yoote yanayowakabili.
 
The Listener

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
993
195
Taifa kubwa halina uwanja wa mazoezi...
Taifa kubwa kila kukicha bakuli mitaani...
Taifa kubwa mnadaiwa pesa ya chapati mlizokula miaka 6 ilopita...
Hebu ufike wakati sasa mmalize madeni yoote yanayowakabili.

Nashukuru Mungu kwamba unaifahamu vizuri hii club zaidi ya ile uipendayo. Pamoja na matatizo yote hayo uliyoyaorodhesha, tulizo la Simba ni Yanga. Nadhani umenipata
 
SIMBA WA TARANGA

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
987
0
Taifa kubwa halina uwanja wa mazoezi...
Taifa kubwa kila kukicha bakuli mitaani...
Taifa kubwa mnadaiwa pesa ya chapati mlizokula miaka 6 ilopita...
Hebu ufike wakati sasa mmalize madeni yoote yanayowakabili.[/QUOTEHasira za nini mkuu, check leo Bakora zitakapotembea Jangwani kutimua viongozi wenu, nadhani utakuwa wa kwanza kutoa adhabu.
 
Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
6,876
2,000
Taifa kubwa halina uwanja wa mazoezi...
Taifa kubwa kila kukicha bakuli mitaani...
Taifa kubwa mnadaiwa pesa ya chapati mlizokula miaka 6 ilopita...
Hebu ufike wakati sasa mmalize madeni yoote yanayowakabili.
Ama kweli kufa kwa mdomo,mate hutawanyika
 
Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,711
1,500
Taifa kubwa halina uwanja wa mazoezi...
Taifa kubwa kila kukicha bakuli mitaani...
Taifa kubwa mnadaiwa pesa ya chapati mlizokula miaka 6 ilopita...
Hebu ufike wakati sasa mmalize madeni yoote yanayowakabili.

Sawa kabisa,na sasa hivi wana hela walipata pesa nzuri mechi za Dar dhidi ya Kiyovu,Es Setiff na Ahly Shandy bila kusahau mechi na Yanga,wafute madeni yote sasa na wakarabati vile vyoo vya Mjengoni kwao(Msimbazi)
 
Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
6,876
2,000
Sawa kabisa,na sasa hivi wana hela walipata pesa nzuri mechi za Dar dhidi ya Kiyovu,Es Setiff na Ahly Shandy bila kusahau mechi na Yanga,wafute madeni yote sasa na wakarabati vile vyoo vya Mjengoni kwao(Msimbazi)

View attachment 53860
Poleni naona magoli matano yanawauma sana... na bado, tunaenda kuwachapa bakora wasudani huku kwao, nyie endeleeni tu kuchoga sisi tunaendelea kukiputa.

Mtake msitake Simba Taifa kubwa... tunahistoria nzuri sana Tanzania na Afrika kuliko Yanga.
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,128
2,000
website ni ushuzi tu.
Ni kama mtoa mada alipoamua kuleta porojo zake JF, so napoomba fact plz usiniletee fact toka kwenye website kama hiyo.

yaani bila shaka wewe ni ccm gamba siasa zimekuathiri sana ndio mana mnaleta siasa hadi kwenye mpira.
Pole sana inaonekana wewe ni yanga masalia.
 
Tisha-TOTO

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
1,175
1,250
Taifa kubwa halina uwanja wa mazoezi...
Taifa kubwa kila kukicha bakuli mitaani...
Taifa kubwa mnadaiwa pesa ya chapati mlizokula miaka 6 ilopita...
Hebu ufike wakati sasa mmalize madeni yoote yanayowakabili.

Waambie, waambie hao!

Wamekalia kutegemea tambiko (eg Mafisango) au kunyesha mvua ili wapate mafanikio!!
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,128
2,000
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Ni mwendo wa bata tu ndani ya dar live
 
Masuke

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
4,610
2,000
Waambie, waambie hao!

Wamekalia kutegemea tambiko (eg Mafisango) au kunyesha mvua ili wapate mafanikio!!
Jamani hebu tujaribuni kuwa wakweli, mtu umelewa, gari iko speed halafu ni usiku upate ajali bado unasema ni tambiko?
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,128
2,000
website ni ushuzi tu.
Ni kama mtoa mada alipoamua kuleta porojo zake JF, so napoomba fact plz usiniletee fact toka kwenye website kama hiyo.

kati ya mim na wewe nani kaleta porojo sasa.??

Kati yangu mim na wew nani kategemea website ??

Tuliza yako sifuri wanaume tukale bata ?
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,787
2,000
yaani bila shaka wewe ni ccm gamba siasa zimekuathiri sana ndio mana mnaleta siasa hadi kwenye mpira.
Pole sana inaonekana wewe ni yanga masalia.

hakuna kitu kama hii yaani mtu akipenda timu yanga ni ccm simba ni nani na sisi azam utasikia tumenunuliwa mibongo bwana..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom