Breaking Newz: Nchunga atangaza kujiuzuru Uongozu Yanga....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking Newz: Nchunga atangaza kujiuzuru Uongozu Yanga.......

Discussion in 'Sports' started by mzee wa njaa, May 24, 2012.

 1. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa kaona isiwe tabu kaamua kusepa na kuachia madaraka kwa shingo upande. Ametangaza hatua hiyo ofisini kwake (Sio klabu ya Yanga Jangwani) muda wa saa 10 jioni huku tukio hilo likiwa limehudhuriwa na waandishi wa habari wachache sana.

  Sasa tuone hao wazee wenye milioni 750.

  Source: Mimi Mwenyewe nimeshuhudia tukio hilo.
   
 2. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaaaa! nimefurahi sana! Yanga ina wenyewe bhana! na wenyewe ndio sisi! chezea wazawa wa Yanga wewe! kitu kimoja nawashangaa waTanzania katika uchaguzi kupewa rushwa na kupitisha viongozi halafu baada ya kuisha ile pesa ndio akili zinazinduka kumbe hafai! ... NIMEFURAHI SANA!
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yanga bana yaani goli 5 ndo zimewapa kiwewe mpaka leo ...haha muwe wavumilivu bana
   
 4. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  Clouds FM wametangaza
   
 5. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nilitaka nishangae mtu mmoja aumize vichwa vya ma'million,mwache aende zake salama afterall ameshatuandikia mahistoria mabaya kibao.
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Acha upuuzi wewe magoli ya kishirikina yale ndo mnajisifia.Hongereni kwa kufika Sudani na kupata uzoefu wa kulala reception.Tehe Tehe
   
 7. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  sasa inabidi kubadili katiba ,mwanachama asiwe mwenye sauti kuliko viongozi,katiba kama ya timu za wenzetu, la sivyo baada ya mwaka tutashuudia yaleyale
   
 8. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Sasa nani mbadala wake?
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Well done Lloyd, amefanya vile kwa maslahi ya YANGA AFRIKA, hakuna hatua ya kikatiba iliyochukuliwa kumtoa madarakani zaidi ya makelele ya akina Akilimali na wanachama wachache waliokuwa wanasimamia jazba badala ya hoja. TFF ilishatoa mwongozo wa kumtoa kiongozi madarakani kwa kutumia katiba ya Yanga, lakini wanachama wavivu wa kufikikri wakakariri misimamo yao, Nchunga anajua fika kuwa wazee na Al-Shaabab wanatumiwa na watu fulani, angeweza kukomaa na TFF ingekuwa upande wake daima, lakini ameamua jema.
   
 10. K

  Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 1,221
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Sielewi ni kipi cha kumtetea huyu Mheshimiwa,Timu ina wadhamini na ktk udhamini wa vodacom kuna na fedha za mishahara ya wachezaji lkn kiongozi anashindwa hata kuhakikisha wachezaji wanalipwa mishahara yao.Bado mapato yanayopatikana kwenye mechi ,sasa kama huwezi hata kuwahudumia wachezaji na kocha ambao ndiyo chanzo kimoja wapo cha mapato mbali na vyanzo vingine basi hilo ni tatizo kubwa sana la uongozi.Alitaka kuwatisha wananchama naona kapigwa mkwara mwenye kaishia ni wale wale wanaoingia kwenye hivi vilabu kufanya uharibifu na ufisadi wa hali ya juu.Ameshafanya ufisadi hapo na siku si nyingi utasikia anajipenyeza kwenye siasa.Bongo yetu kila sehemu ina vibaka wasiojali utu na hata maadili ya taaluma zao ,kwa kifupi ubinaadamu haupo ni kuchumia tumbo kwa kwenda mbele!
   
 11. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Yahoo,
  Wnachama wataachaje kuwa wenye sauti kuliko viongozi wakati wao(wanachama) ndo wanaowaweka madarakani viongozi,huwezi kubadili katiba ika'suit hilo unalolitaka labda ubadili mfumo mzima wa Club jambo ambalo haliwezekani kwa Club za dizaini ya Simba na Yanga ambazo zina wanachama,ukitaka viongozi wawe ndo wafanya maamuzi kama ilivyo kwa Azam basi inabidi uanzishe team yako kama alivyofanya Bakhresa,na kama ilivyo kwa team za wenzetu ambapo humilikiwa na mtu/watu wachache,lkn kwa team yeyote yenye wanachama Mkutano mkuu ndo kila kitu Kaka.
  Taratibutaratibu tutakufunza masuala haya ya soka Kijana,mpaka utawiva tu.
   
 12. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Huyu Jamaa ni Kilaza wa mwisho sijawahi kuona,sijui hata Degree yake aliipataje,yaani na elimu yake ameshindwa kula hata na vipofu,pamoja na vyanzo vyote vya mapato to mention but few Mkataba wa TBL,mapato ya kila mechi na fedha za wafadhili wengine wenye mapenzi na team lkn anashindwa hata kulipa mishahara kwa miezi mi'3 - 4,anatoa team kuelekea kanda ya ziwa anawapa wachezaji shillingi za kitanzania 10,000/= wakawaachie familia zao,kilichokuwa kinanishangaza mimi ni vile alivyokuwa anaendelea kung'ang'ania kukaa mdarakani wakati kamati yake ya utendaji yote ilishajiuzulu,alikuwa anatafuta ubaya na Wana'yanga tu,hizi team kubwa si za kuchezea zinaweza kugharimu maisha ya mtu/watu.
   
 13. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hawa jamaa walivyokuwa wameapa kuhusu Nchunga na wako tayari kwamba "hata timu ikifa ni bora kuliko Nchunga" inaonyesha ni kiasi gani hii nchi imejaa mazuzu na vichaa.

  Ni mategemeo yangu kuwa kwa hili la safari hii, wengi tutakuwa tumeelewa kuwa kuna aina ya watu ambao kama kweli tuanataka kwenda mbele kutoka hapa tulipo, kuna watu inabidi 'tuwapuuze', mbali na hapo tutabakia kusikiliza watu wanaoongelea Million 850,000,000/- za kuendeleza klabu wakati wakiishi kwenye chumba kimoja cha kupanga!

   
 14. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  pole sana kama unaimani za kushindwa kiasi icho, Timu za ulaya ikiwemo man utd zilikuwa na mifumo kama yenu na wakabadilika wakafata mfumo wa kampuni,na sasa timu inamilikiwa na mwenye hisa kubwa kwa kushirikiana na bodi...Lipi lisilowezekana hapo,au mnasubiri simba wafanye ndo muone kuwa inawezekana? sishangai mmeshindwa hatakubadili sura la logo yenu la mwaka 35!
   
 15. M

  Masuke JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mkuu Yahoo nakuunga mkono, hivi vilabu vyetu tunavipenda lakini vina matatizo lukuki ya kiuongozi, pamoja na kwamba mimi sina mwanayanga lakini alichofanya Nchunga ni kizuri kama baadhi ya watu wanasema wako kuona Yanga inashushwa daraja ili mradi Nchunga asiwepo ni hatari, lazima uangalie hisia za watu kuna watu wanazimia timu yao ikifungwa sasa leo unawaambia ishushwe daraja si unataka kuwauwa hao watu, inawezekana hawa wazee wakawa wanatumiwa lakini inabidi wawe makini maana kama wataendekeza migogoro hata wadhamin kama TBL wanaweza kujiondoa na hela za milangoni nazo si nyingi kihivyo maana makato yanayofanywa ni makubwa mno, kiukweli migogoro kwenye soka si mizuri sana, Nawatakia kila la heri watani na maandalizi ya kutetea kombe lenu la Kagame ingawa na sisi tunalitaka.
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huwa nashindwa kuitenga Yanga na CCM.
  Kwa kuwa ni wamoja hata FATE yao ni moja!
   
 17. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni weakness yako Njowepo,pole!
   
 18. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  unakanyagwa,unafananishaje siasa na football? Kwani mwenyekiti wa simba ni mwanachama wa cuf? Kama huna hoja kafi***rwe!
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wale wazee wangemshusha mshipa. Bora akae kando
   
 20. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilidhani Simba hawakulala kumbe walilala sasa ulitaka walale chooni ndio uamini kuwa wamelala? 5 o'clock kandambili nyie.
   
Loading...