Sasa Nataka Kadi ya Uanachma DarYoung Africans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa Nataka Kadi ya Uanachma DarYoung Africans

Discussion in 'Sports' started by luck, May 24, 2012.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 772
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  Sasa mawimbi yametulia.
  Nina imani mambo yatakuwa yanaenda yakinyooka.....napata wapi kadi nipo kimara mwisho
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Nani atachukua nafasi ya nchunga?
   
 3. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mimi nenda chukua hiyo nafasi,.
   
 4. F

  Fofader JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Good luck!
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  una umri gani? Hiyo kadi ni kama unanunua presha haina tofauti
   
 6. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Luck karibu sana kwenye team,nitakuulizia Viongozi wa matawi ya Kimara then nitakujulisha,sasa ndo mtaijua Yanga...Nchunga kaondoka na team kaiacha kwenye mikono salama kabisa..
  Siku zote Yanga daima ni mbele,nyuma mwiko
   
 7. luck

  luck JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 772
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  Shukrani kaka.
   
 8. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  kaka anslem hiyo logo ni feki sio logo halisi ya yanga,ukiwa kama mwakilishi wa yanga hapa jf(viti maalum) tunaomba uoneshe mfano wa kutumia products halisia vya yanga
   
 9. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Card.jpg

  Zote ni logo tu Kaka
   
 10. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Noooo lazima tutofautishe real logo na logo wanazobuni watu wa tandale kwa tumbo ili waweke kwenye jezi feki ili wakwepe mkono wa sheria..alafu naona kuna mtu anasketi hapo na na mwingind bondia waanafanya nini hapo!
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  kama ya ccm na ndio maana chama linakufa kibudu
   
 12. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wacha nijitolee kukusomesha,pamoja na kwamba nimegundua una ka'element ka'ubishi lkn kwangu utakaa sawa tu,umeuliza skirt na mtu aliyevaa gloves za mabondia wanafanya nini kwenye logo,sasa mimi nakujibu...kama inavyoeleza tafsiri ya jina kamili la Yanga "Young Africans Sports Club" ni Club ya michezo kwa ujumla na wakati inaanzishwa mpaka kwenye miaka ya 80's Yanga ilikuwa ina team kuu 3 za michezo,team ya footbal (soka) ambayo ndo ime'dominate sasa,team ya ngumi iliyokuwa inajulikana kama Young Africans Boxing team na team ya Netball,ni upeo haba wa viongozi waliokuwa wanapata nafsi ya kuongoza Club kwenye miaka ya mwishoni mwa 90 mpaka sasa ndo ulioua hizi team nyingine na kubaki na team ya footbal peke yako.
  Tuko pamoja?
   
 13. M

  Masuke JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Ha ha haa haa, Mkuu labda iliyokufa ni Netboli lakini ya Boxing haijafa, hukuona ilivyopafomu siku ya Mechi ya Azam?
   
 14. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Limbunge lenu la ccm leo mnalikana ndo maana lililazwa reception.
   
Loading...