Former England captain David Beckham's success on the field and appeal to sponsors have made him an estimated fortune of £160 million pounds to put him top of the Sunday Times Sport Rich List...
wakuu nashangaa ni kwa nini vituo vyetu vya televisheni ikiwemo TBC ambayo inaendeshwa kwa kodi za walalahoi wao saa zote jioni wanatuonyesha bongofleva tu.
Leo kuna mechi muhimu ya waatani wa...
In what he described as one of his toughest fights - three weeks before he heads to jail - Floyd Mayweather held off a game Miguel Cotto and came away with Cotto's WBA light middleweight title in...
Just two games to go with city leading on goal difference,by believe it or not the BPL trophy will lend at the thieter of dream.see you on the 13.05.2012
Tusiibeze timu yetu ina vijana wapiganaji haswa hebu fikiria spidi ya Mrwanda,Ngasa na Samatta! Beki Costa,Nyoso na Nsajigwa! Hakuna sababu ya kukosa ushindi,binafsi nawaombea wawe na ari kubwa tu...
Patric Macau wa Kenya katika mbio za Berlin
Ukiandika katika wavuti wa tafuta wa Google "East African running" yaani "Wakimbiaji wa Afrika Mashariki" utapata taarifa nyingi zinazouliza kitu gani...
Kwamchezo ulivyokua leo wa Arsenal kutoa sare na norwich cityni dhahiri kabisa clabu ya washika bunduki wa london wameiweka lehan nafac ya tatu kwa newcastle na totenham kuichukua nafasi...
Alex amaliza ukmya kwa watu leo wanaosema kuwa man utd ana uwezo wa kumfunga man ctiy,na hapo ndio ata tangaza kuchuwa ubingwa,wale wote wamashabiki wa ukweli wa man utd.matokeo ni kama hivi...
Kwa taarifa nilizopata
baada ya kamati ya tibaigana kutengua maamuzi ya azam kupewa point za mezani na kutoa agizo la mechi kurudiwa,
kesho ndio game inapigwa u/taifa.
salama wanajamvi,
katika mechi iliyommalizika hizi punde, nimevutiwa sana na uwezo wa huyu jamaa, he is real striker,
hawa jamaa wa CHELSEA ni wamefungwa goli mbili na huyu jamaa ambazo...
Kwa matokeo ya leo ambapo Real Madrid imekwishafikisha points 94 wakati Barca ina points 87 na imebakia michezo miwili ambapo hata real ikipoteza yote, bado inabaki kuwa bingwa wa msimu huu. Ndoto...
WANAJF;
Pamoja na kwamba sote masikio yetu yako Ikulu kwa ajili ya Baraza la Mawaziri, ambalo kwa hakika halitakuwa na jipya kwasababu ya uzoefu etu na JK. Mimi naomba mwenye updates za mechi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.