Leo ni Simba+Azam+Mtibwa v/s Malawi.
Mi nipo upande wa Malawi lazima combine ya Simba ichezee kichapo.
wadau mlioko taifa mtupe updates za mech ya leo jion
Huu unazi unakotupeleka sio, nakumbuka kuna timu ya Taifa iliitwa ilikuwa na wachezaji wawili tu wa Simba, Salum Kanoni na Musa Mgosi lakini sikuona huu wendawazimu unaofanywa hivi sasa, sasa kuona wachezaji wengi wanatoka timu usioishabikia na kuamua kuiita Simba mseto sijui hata tunaelekea wapi, hivi ikifikia Tanzania ikawa na wachezaji wengi wanaocheza nje ya Tanzania na ndo wakatumika kuunda timu ya Taifa kwa maana hiyo kama na washabiki wa Simba wakiwa na akili kama hizi itakuwa inaitwa timu ya wawekezaji au mtakuwa mnaiita jina gani.Wangeandika simba mseto waache kutumia jina la Timu ya Taifa.Pambaf kwanza hawajala kichapo fisi hao
Huu unazi unakotupeleka sio, nakumbuka kuna timu ya Taifa iliitwa ilikuwa na wachezaji wawili tu wa Simba, Salum Kanoni na Musa Mgosi lakini sikuona huu wendawazimu unaofanywa hivi sasa, sasa kuona wachezaji wengi wanatoka timu usioishabikia na kuamua kuiita Simba mseto sijui hata tunaelekea wapi, hivi ikifikia Tanzania ikawa na wachezaji wengi wanaocheza nje ya Tanzania na ndo wakatumika kuunda timu ya Taifa kwa maana hiyo kama na washabiki wa Simba wakiwa na akili kama hizi itakuwa inaitwa timu ya wawekezaji au mtakuwa mnaiita jina gani.
Tuondolee fix zako hapa, wachezaji wenye msaada wako wapi, wameshindwa kuisaidia timu yao dhidi ya kina Kipre tchetche ndo waje wasaidie dhidi ya kina Toure na Drogba, unacheza wewe.Kiko wapi sasa? wee mwache(Kim) tutakaporudi toka Abidjan na KAPU letu(la magoli) ndo atakapogundua kuwa kuna wachezaji wengine wenye msaada kuliko hao aliowabeba amewaacha,mi navuta subira tu.
Tuondolee fix zako hapa, wachezaji wenye msaada wako wapi, wameshindwa kuisaidia timu yao dhidi ya kina Kipre tchetche ndo waje wasaidie dhidi ya kina Toure na Drogba, unacheza wewe.