Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Belgian superstar has delivered a snub to Premier League champions Manchester City and their rivals Manchester United by opting to join the Stamford Bridge club By Greg Stobart May 28, 2012...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu, Zaidi ya timu za mpira 20 nchini italia zitataarifiwa kuwa zinatakiwa kuchunguzwa baada ya tuhuma za kupanga matukio kufikia hatua mpya. …alivyokaa utadhani kafungwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani nipo mbali kidogo ila sijajua kiingilio ni shigapi anayejua please let me know
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa habari za uhakika na kuaminika ni kwamba simba fc baada ya kurejea toka sudan watafanya sherehe ya nguvu kwa ajiri ya kusherehekea ubingwa wa tanzania bara baada ya kuwanyuka watan wao wa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ningekuwa mi nipo nafasi aliyopo wenger kweli nisingekwenda nunua wachezaji wanaotaka pesa nyingi za mshahara na transer fee bali ningeopt kumnunua Clint Demsey akaja ziba nafasi ya Benayoun...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Sijui ni tatizo la nani kati ya TFF na CAF. Kwenye website ya CAF: Tanzania Football Federation (FAT) - Tanzania Kuna timu tano tu za Tanzania - Young Africans, JKT Ruvu, Moro United, Prisons na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
After 78 of 78 laps Position Driver Team Fastest lap: S Perez 1:17.296 on lap 49 1 Australia M Webber Red Bull 2 Germany N Rosberg Mercedes 3 Spain F Alonso Ferrari 4 Germany S Vettel...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Kama makocha tumebadilisha na bado timu inayumba inamaanisha tatizo lipo sehemu nyingine kwenye hii timu. Na mimi binafsi nadhani na uongozi, sidhani kama kuna separation of power naona...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Wadau naomba tujadili hili suala la olimpiki na ushiriki wa nchi yetu ya tanzania. Mpaka sasa sijasikia chochote kuhusiana nalo. Haijulikani ni wanamichezo gani wanaokwenda na timu, viongozi...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Leo saa 4 usiku ni fursa nyengine kwa Gardiola na Barca yake ili kuthibitisha kuwa ama ilikuwa ni kusuasua kwake mwaka huu bahati mbaya tu au ndio mwisho wa "Golden Era". Filimbi ya mwisho...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Sasa mawimbi yametulia. Nina imani mambo yatakuwa yanaenda yakinyooka.....napata wapi kadi nipo kimara mwisho
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamaa kaona isiwe tabu kaamua kusepa na kuachia madaraka kwa shingo upande. Ametangaza hatua hiyo ofisini kwake (Sio klabu ya Yanga Jangwani) muda wa saa 10 jioni huku tukio hilo likiwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Jana wakati nasikiliza kipindi cha michezo radio one nilisikitishwa sana na kauli ya kiongozi wa wazee Akilimali wa yanga ambao watanzania tulitegemea wangetumi busara zao kufanya maamuzi kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
As a Liverpool supporter, I have all reasons to believe that having Rafael Benitez back as a coach at Liverpool is crucial to turn around and bounce back to be among the Premier league's top...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie ktk hili,nimesoma ktk web ya Mwananchi nikaliona jina la Kim Paulsen kama kocha mpya wa Taifa stars aliyechukua nafasasi ya Juan Paulsen! Hawa ni ndugu? Au majina yamefanana tu!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inabidi waganga wetu akina profesa Maji marefu na d Kifimbo wakajitangaze UK... kuna biashara kubwa kumbe Mario Balotelli and Samir Nasri take to voodoo to help Man City win title | Metro.co.uk
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Olympic beach volleyball team stop traffic in London's Parliament Square sporting briefs and bikinis British squad pose in bikini tops and briefs Stunt designed to highlight how busy London’s...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Bacelona striker David Villa has broken his left shinebone in the FIFA club world cup semi fainal against Al saad...30 years old was carried of the stretcher six minutes before half-time after...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Didier Drogba amewaaga wachezaji wenzake wa klabu ya chelseaya uingereza na kuwaeleza kuwa muda umewadia wa yeye kutemana na klabu hiyo ambayo ilishinda ubingwa wa ulaya jumamosi iliyopita kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ETI wanachama 700 wa Yanga walikutana Jumapili makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam na kufikia uamuzi wa kumng’oa madarakani Mwenyekiti, Wakili Lloyd Bahargu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom