Ningekuwa nafasi ya wenger | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ningekuwa nafasi ya wenger

Discussion in 'Sports' started by kashengo, May 27, 2012.

 1. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,646
  Likes Received: 462
  Trophy Points: 180
  Ningekuwa mi nipo nafasi aliyopo wenger kweli nisingekwenda nunua wachezaji wanaotaka pesa nyingi za mshahara na transer fee bali ningeopt kumnunua Clint Demsey akaja ziba nafasi ya Benayoun anaerudi chelsea....alafu then ningeenda pale Leeds nikamnunua Casper schmichael akaja akawa Back up ya Wosjiech kwani makipa vijana wanafanya vizuri siku hizi mtazame Joe Hart,De gea,Wosjiech...vorm, craig gordon...

  tatu ningejikakamua nikamnunua M'villa na Beki mmoja wa Kati kama Back up ya per na TV5..maana Squillaqi yule ni galasa babake...na lazima ningelifanya kila niwezalo kumzia RVP asiondoke..hata kama ni kuondoka kwa bosman free transfer next season na kumuombea aumie katika mashindano ya EURO ili hao wanajifanya wanampenda tuone kama hawajaingia mitini....na ningemrudisha Rio Miyaichi toka pale Bolton maana dogo huyu wa ukweleeee jamanii atakuja tisha sana huyu dogo na Joe Campbell ningemuacha LORIENT kwa msimu mwingine ili akomae zaidi

  Mwisho ningempeleka Ramsey Loan ili akakuze confidence yake iliyopotea na hapo baada ya kumtizama kutoka september mpaka january perfomance yake........

  Chamackh,squillaqi,bendtner,fabianski,diaby wote ningewatoa
   
 2. Companero

  Companero Platinum Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  huna tofauti na wenger, huo ndio upuuzi ambao amekuwa anaufanya miaka nenda rudi - kupenda vya chee noma!
   
 3. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,646
  Likes Received: 462
  Trophy Points: 180
  kaka kumbuka Kununua wachezaji wengi kwa bei mbaya si mara zote utapata mafanikio la hasha kuna hasara nyingi sana nadani yake....PSG wametumia mapesa meengi sana ufaransa lakini wmemaliza wa pili na imagine City na pesa zao next season watastumble sana kwani kila game itakuwa final kwao (watakamiwa ile mbaya) na ujue timu kama madrid ni club inayotumia pesa nyingi sana lakini wamekwama sana mpaka labda Mourinho alivyokuja ......anagalia BARCA wametumia pesa nyingi kununua wachezaji watatu,wanne mahiri katika miaka 4 Villa,alves,alexis sanchez na Cesc na kuchanganya na vipaji vichanga kama PEDRO,cuenca,Thiago na wengineo...

  Ali mradi iwepo culture ya kuretain wachezaji na kuongeza reinforcement whenever possible...ila ukununua Kiboya unaishia kama Liverpool ebu fukiria Downing ametua kwa Paund mil 20 na hana goli wala assist msimu mzima,the same to carrol,handersson...timu inayoweza kuwatunza wachezaji wakakaa pamoja mda mrefu baadae huzoena na kujiamini....kuna mambo hayawezekani pale ARSENAL hata tufanyeje kwani kuwepo Peter hillwood,gazidis,stan kraonke, na wenger iyo ni (tight budget each year) na man U naona nao wameia dopt hii kanuni....
   
 4. Companero

  Companero Platinum Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye nyekundu tu ndio kuna pointi, zingine zote ni pumba - na hiyo pointi wenger kaishindwa; wenzake wote (ferguson, maurinho et al.) wameweza ku-balance young and old, hata milan ya wazee imeweza kufanya retention ya oldies na kusustain youngsters ila wenger ndio kwanza anaanza tena upuuzi ule wa mwaka jana kwenye sakata la rvp!
   
 5. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,646
  Likes Received: 462
  Trophy Points: 180
  Naelewa yote hayo pamoja na mtizamo wangu kuuona ni pumba ila nakwambia timu kufanikiwa si kama lazima mtumie mapesa meengi maana timu hata kama ina Academy nzuri ya soka itafanya vizuri kwa budget ndogo na kununua wachezaji wachache, na suala la RVP ilo ni kosa la BOARD nzima kulewa pesa wanazoingiza bila kujua bila ya wachezaji hwawezi kupata hayo mapesa na upande mwingine huyu huyu RVP ata akiondoka hatopata watu wakamvumilia na miguu yake flagile kama ile....seven season consecutively yuko majeruhi ila leo anataka aende city kama atakomaa akwende alafu siku akiumia wananunua stiker mpya warabu wanataka macheko
   
 6. Companero

  Companero Platinum Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  kweli wewe huna tofauti na wenger, kwa miaka 7 tumefanya hiki hiki unachokisema hapa ila hatujapata hata kombe moja!

  hakika ukichaa ni kukirudia kitu kile kile tena na tena ukitarajia matokeo tofauti!
   
 7. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,967
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mkuu, hii si ungeweka tu kwenye post ya watu wa ass-nol? Kuna ulazima gani wa kuanzisha thread mpya? Nadhani huu nao ni ubadhirifu au matumizi mabaya ya JF.
   
 8. B

  BARRY JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Arsenal ndiyo club pekee inayotengeneza super profit pale Uk na inawezekana kuliko clubs nyingi Eu. Vikombe ni moja ya malengo ya clubs lakini hela kwanza, it's all about strategies
   
 9. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,646
  Likes Received: 462
  Trophy Points: 180
  kichaa mwenyewe na mdomo wako mchafu huwezi comments mpaka utukane? Pambav
   
 10. Companero

  Companero Platinum Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 11. Companero

  Companero Platinum Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  kashengo acha ubishi usio na tija. huna jipya kama wenger. anachotekeleza ndicho hicho hicho unachoshauri.
   
 12. King2

  King2 JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mzee wenger sijui anafikiria nini sasa hvi.
   
 13. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Umemsahau Frimpong back up ya Song
   
 14. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,646
  Likes Received: 462
  Trophy Points: 180
  . anachotekeleza ndicho hicho hicho unachoshauri.

  si kweli anachotekeleza wenger ameshindwa ku rettain wachezaji kama enzi za invicibles na mi huwa sikubaliani na sera yao ya vimshahara mbuzi mpaka wachezaji wanakimbia kila summer....mi si kama wenger katika hilo....na kwa ttaarifa yako mi naunga mkono wanunuliwe wachezaji watatu "ready made" kusaidiana na waliopo na bila kuuza key stars kitu ambacho wenger hawezi anauza ndio ananunua wachezaji "poor thing" na msimu ulioisha ndio alifanya usajili wa nguvu since he arrived lakini naweza sema alikuwa panic Buying maana mpaka tulivyopata demolition 8-2 pale Old trafford ndio akaogopa...

  ila hope atanunua baada ya kugamble na kuona matunda kidogo kwa OX na Arteta..na kiduchu Santos ila Per anahitaji muda wa kuzoea maana yuko slow sana na speed ya EPL na Park Cho young aliiingilia dili la Lille ndio maana kameshindwa kufanya la maana mpaka sasa...

  Si kweli nafanana na wenger katika philosophy yake anawafukuza watu waliofikia 30??? kitu ambacho ni kosa kubwa timu inakosa winning mentalit na experience imagine mtu kama Gallas,pires,gilberto,edu,vieira,parlour,raulen wote hao aliwakatalia 2 years contarct kisa wako miaka 30? huu ni Upuuzi wa arsenal mwingine nisio kubaliana nao siku zote
   
 15. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,646
  Likes Received: 462
  Trophy Points: 180
  dogo Akitulia atakuja kuwa Jembe ila nae injury prone sana maana as we speak amevunjika mguu yuko out
   
 16. Companero

  Companero Platinum Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  now you are talking, huu ushauri ni tofauti na uliotoa mwanzo - hapo pekundu ndio pointi, linganisha na hizo pointless bluu hapo chini:

  Kha makocha wa nguvu wanawagombania kina Edin Hazard, Robbie van Persie na Thiago Silva wengine wanawafikiria eti M'villa, Dempsey na Schmeichel!
   
 17. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,646
  Likes Received: 462
  Trophy Points: 180
  kumbakiza RVP bila kumwonesha kuwa anatengeneza timu ya kutwaa ubingwa next season...na ilo laja kwa kuwahi kuwasinisha mikataba minono wachezaji nyota wa timu...kama Theo na jack wilshere mikataba yao inaisha in two years ina maana kama RVP ataondoka next summer atakuwa Jack au Theo...hapo ndipo huwa simwelewi huyu babu....na yuko reluctant sana kuwanunua wachezaji talented "ready made" yaani tunazidiwa mpaka na Spurs katika kununua wachezaji wazuri believe me
   
 18. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,646
  Likes Received: 462
  Trophy Points: 180
  Tatizo kaka umeniparamia ukadhani mi siiijui arsenal kisa cha kufanya vibaya kila msimu? tatizo kwanza ni kushindwa kuwabakiza nyota wake
   
 19. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,646
  Likes Received: 462
  Trophy Points: 180
  Bado Cilnt demsey ni mzuri mara 6 ya ramsey na huyo Diaby na Miyaichi dogo mzuri sana au hujawahi kumwona??? maana hii nayo ishu ingine? na ningeenda mnunua Demsey maana Arsenal pesa za Kununua na kushindana na club tajiri ulaya hawatoi ila je hata Ma scout wake wanashindwa kupata vipaji kama walivyokiona na OX? alafu huyu M'VILLA ni mzuri sana katika Defensive mildfielder kama atakuwa form yake aliyokuwa nayo After EUROS hatutakuwa na ubavu wa kumpata tena maana atakuwa Inflated ghafla
   
 20. Companero

  Companero Platinum Member

  #20
  May 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  acha ubishi, ulichemka hapo mwanzoni kwa kuongea kama wenger mwenyewe, hapo mwishoni ndio umejisahihisha
   
Loading...