Barca v/s Athletic de Bilbao @ La Copa del Rey

Barca v/s Athletic de Bilbao @ La Copa del Rey

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Leo saa 4 usiku ni fursa nyengine kwa Gardiola na Barca yake ili kuthibitisha kuwa ama ilikuwa ni kusuasua kwake mwaka huu bahati mbaya tu au ndio mwisho wa "Golden Era".

Filimbi ya mwisho itatupa jibu.
 
Mpaka sasa Catalans wanaongoza goli tatu, game ni kama imekata.
 
Back
Top Bottom