kocha wa Taifa Stars

kocha wa Taifa Stars

Mbuty

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
421
Reaction score
254
Naomba mnisaidie ktk hili,nimesoma ktk web ya Mwananchi nikaliona jina la Kim Paulsen kama kocha mpya wa Taifa stars aliyechukua nafasasi ya Juan Paulsen! Hawa ni ndugu? Au majina yamefanana tu!
 
Wewe uko wapi,inaonekana soka kwako ni kama kanisa kwa Pagan,anyway hawa Jamaa licha ya kuwa wote wanatokea Denmark siyo ndugu kabisa ni majina tu yamefanana.
 
Back
Top Bottom