Why Liverpool needs Rafael Benitez back at Anfield to bring back the glory days

Kalumbesa

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,013
356
As a Liverpool supporter, I have all reasons to believe that having Rafael Benitez back as a coach at Liverpool is crucial to turn around and bounce back to be among the Premier league's top sides. Rafael Benitez had achieved several success at Liverpool while the club was in financial critical conditions under the ownership of Tom Hicks and George Gillet. To mention few is the 2005 Champions league trophy, 2006 FA Cup trophy and he came close to clinching the Premier league title in 2008 finishing just four points behind winners Manchester United losing only two games throughout the entire EPL season. He achieved all of this while being allocated very little funds for signing quality players to strengthen the squad. In most cases he had to sell players before he can buy others. Yes the club was in a big debt,but without enough funds to sign quality players is very difficulty to perform well in a competitive league as EPL. Kenny Daglish spent over pound 100M but still finished eighth,with his signings failing to make a greater impact. If Rafael Benitez, is brought back and given about pound 75M for new signings,with the fact that he wont be new to the club, Liverpool will bounce back to be among the Premier League's elites. I know there are other quality managers like Laurent Blanc, Marcelo Bielsa, Jurgen Klopp,Andre Villas Boas but Rafael Benitez will be the ideal man for Anfield future.
Rafael Benitez.jpg
Seven years ago today at Instanbul
 
Sijui kwanini FSG wana hangaika na kina Martinez wakti Rafa yupo na ameonesha nia ya kutaka kurejea Anfield? Naunga mkono 100% Rafa ni chaguo sahihi sana kwa sasa
 
Am a arsenal diehard fan i wud really love 2 see Bentez back 2 his root home liverpool, nt Martenz he has alot 2 learn
 
Mimi habari za Liver huwa zinanisikitisha sana hata siku hizi sitamani kabisa kuangalia website yao.Sijajua sana but nahisi kuna mtu katuloga si bure hata kidogo. Kusema ukweli tunacheza vizuri tukikutana na Man U, Chelsea, Man City na Arsenal but vitimu vidogo vidogo ndo shida yetu pale.Wiki hii tunamfunga Man U na wiki inayofuta tunafungwa na QPR sasa hapo kuna shida si tunadhani washindani wetu ni hizo timu kubwa wakati wenzetu timu hizo ndogo ndo za kuchukulia point na hizo nyingine ni droo au kushinda. Natamani sana Bantez arudi pale Anfield aturudishie imani maana kusema ukweli mimi mpaka sasa napata taabu ya kuvaa jezi ya Liver mtaani sasa yaani hata Carling cup tuliichukua kwa mbinde sana
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Sijui kwanini FSG wana hangaika na kina Martinez wakti Rafa yupo na ameonesha nia ya kutaka kurejea Anfield? Naunga mkono 100% Rafa ni chaguo sahihi sana kwa sasa

Mkuu Gerrad kweli kabisa kumchagua mtu mwingine ambaye si Benitez itakuwa kosa kubwa sana,majuzi mamia ya mashabiki wa liverpool walijikusanya nje ya jengo la ofisi wakiimba kumfikishia ujumbe managing director Ian Ayre,kwamba tunamhitaji Benitez tu! FSG wakikosea kumpa mtu mwingine akavurunda itakuwa mbaya sana
 
Am a arsenal diehard fan i wud really love 2 see Bentez back 2 his root home liverpool, nt Martenz he has alot 2 learn

Big up man, nafurahi kuona japo wewe si Liverpool lakini unatutakia mafanikio mema. Martinez amezoea kupigania kutoshuka daraja kugombania nafasi nne za juu ni inshu nyingine pressure ni kubwa itamhitaji angalau miaka miwili kufikia level hiyo.Martinez hapana kwa kweli wakimpa ile kazi tunaweza jikuta tunagombania kutoshuka daraja
 
Bila shaka season hii itafanya maamuzi mazuri zaidi kuwanusuru washabiki!

Na Benitez kwangu Mi ni chaguo.
 
Bila shaka season hii itafanya maamuzi mazuri zaidi kuwanusuru washabiki!

Na Benitez kwangu Mi ni chaguo.

Benitez was sacked after just one bad season,with the club swinging on the hicks and gillet tough times,he wasnt given time to turn it around and this is the time. Benitez knows how to inject spirit to the lads,recall Instanbul,recall the highly rated clash with Chelsea at Stamford Bridge which ended 4-4 what a game ? These are just few,but we were playing with great ambitions,only one bad season and he was sacked,since then we have not woke up
 
Back
Top Bottom