Mkataba wa uzamini wa ligi kuu kati ya tff na vodacom unakataza timu nyingine kuzaminiwa na kampuni nyingine ya simu ..na kwa upande mwingine fedha zenyewe za udhamini kwa timu ni kama hakuna...
Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu akionesha jezi walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa jeusi. (Picha na Habri Mseto Blog)
Kaimu Katibu Mkuu wa...
Leo mechi ni nzuri tutakuwa uwanjani masaa machache toka sasa tukishuhudia pambano jepesi kwa Yanga,ikishinda leo basi ubingwa jangwani mana lazima mnyama Simba apakatwe pale ccm-kirumba na...
Wana jf tujadili hili mana litaua soka kama kweli lipo,baada ya yanga kutofanya vizuri kwenye mechi zake kuna siku hasa baada yanga kufungwa na kagera nilimskia kiongozi wa yanga akiwalaumu...
Lile sakata lililokuwa linawakera wapenda soka katika jiji la DSM la kamati ya Uchaguzi ya mkoa wa DSM iliyokuwa inaongozwa na Muhdin Ndolanga kulazimisha na kumbeba Amin Bakhresa bila kuzingatia...
ANGUKO LA UCHUMI UGIRIKI LASABABISHA KLABU KUDHAMINIWA NA DANGURO - WACHEZAJI WAAHIDIWA MADEMU WAKISHINDA MECHII
Kama ilivyo kwa vitu vingi vingine nchini Ugiriki, klabu za soka nazo...
Waambiwa wachague nembo ya kudumu kati ya.
Njano,kijani na nyeusi.
Wasema walikua hawajui kama rangi hizo ni utambulisho wa mwafrica na africa.
1.Kijani-sura ya africa.
2.Njano-Madini...
Thursday, 18 October 2012
Written By Ismael Kiyonga
in
Share
Share
Following his
desire to switch nationality, Ugandan
born Kenyan based striker Daniel
'Mzee' Sserukuma has recieved...
Klabu ya Yanga imekuwa na malumbano na TFF kuhusiana na nembo ya wadhamini wa ligi kuu ya Vodacom, issue ni doa jekundu katika jezi ambazo wadhamini hao wanazotoa kwa vilabu vyote vinavyoshiriki...
Kile kisiwa kidogo chenye watu laki tano tuu Cape Verde kimefanikiwa kuingia kwenye fainali za Kombe la Afrika (Africa Cup of Nations) baada ya kucharagaza Cameron na akina Eto'o. Cameroon...
Tupo uwanja wa taifa live tunangalia mechi nimekaa jukwaa la simba mpaka sasa simba 1 kagera 0,ila kagera kidogo wamebadilika wanashambulia vizuri,tutaendelea kufamishana ila naskia star tv wako live
Watu wenye umri mkubwa wa kuzaliwa wa timu ya Yanga jana walitoa kauli ati hawakotayari kuvaa jezi za mdhamini kwa sababu jezi hizo zina mkono wa Simba. Hawa ni mbumbumbu wa mikataba, lazima...
Wengi tunajiuliza TFF kwa nini HAICHUKULII hatua klabu ya Yanga kwa kuvunja kipengere rahisi mno cha mkataba wa mdhamini wa ligi cha timu kutokuvaa LOGO ya mdhamini hatua zipi zichukuliwe...
Title ipo kwa kingereza kuonyesha msisitizo zaidi...
Pass ya kupenyezewa,move ya Bahanuzi ambayo iliuliwa kwa kuamuliwa kama offside na Refa pamoja na msaidizi wake, shame on them!
samahani wadau sijawahi kuingia uwanja wa taifa kuangalia mechi ila leo nataka kwenda kuangalia mechi ya simba nimeomba ruhusa kazini,sasa wapi tiketi zinauzwa? au pale nje ya uwanja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.