Malkia waa nyuki(simba chekechea-mwl wa university degree

Milindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2009
Posts
1,478
Reaction score
757
Malkia wa nyuki akitumia busara na jeuri ya Ngawila kawalipua simba kuwa huwezi kuwa na wachezaji ambao wako chekechea na kuwatafutia mwalimu mwenye degree.
 
Hivi huyu mama anatoa wapi hizo pesa za matumiz mabovu ya kukurupuka rupuka.hata kama anazo sikubaliani naye kwa suala la kumlipa huyo hilo deni lake dola 8000,analea maradhi.hiyo pesa ni makosa ya uongozi mbovu usio makini.hawa viongozi watavimba vichwa kufanya ufisadi wakijua wakumwaga mapesa yupo...we subiri uone tu..watu na roho zao...
 
Binafsi namuunga mkono huyu mama alichoongea, kwa viwango vinavyooneshwa na timu za Simba na Yanga hakuna sababu ya kumlipa koza zaidi ya 12 ml, hawana tofauti kubwa na Kagera, Mtibwa au Ruvu ambazo zina wazawa. Ushindi wa timu hizi kwa kiwango kikubwa unachangiwa na kununua marefa au wachezaji wa timu pinzani, na kamati za ufundi. Hawa makocha wakigeni ni kuoneshana ufahari wa pesa tu lkn sio muhimu kivile.
 
Simba walikuwa wanawacheka Yanga kuhusu Manji na wao wameingia mkumbo uleule
 
Binafsi namuunga mkono huyu mama alichoongea, kwa viwango vinavyooneshwa na timu za Simba na Yanga hakuna sababu ya kumlipa koza zaidi ya 12 ml, hawana tofauti kubwa na Kagera, Mtibwa au Ruvu ambazo zina wazawa. Ushindi wa timu hizi kwa kiwango kikubwa unachangiwa na kununua marefa au wachezaji wa timu pinzani, na kamati za ufundi. Hawa makocha wakigeni ni kuoneshana ufahari wa pesa tu lkn sio muhimu kivile.

Si kwa habari ya Yanga.
 
Hivi huyu mama anatoa wapi hizo pesa za matumiz mabovu ya kukurupuka rupuka.hata kama anazo sikubaliani naye kwa suala la kumlipa huyo hilo deni lake dola 8000,analea maradhi.hiyo pesa ni makosa ya uongozi mbovu usio makini.hawa viongozi watavimba vichwa kufanya ufisadi wakijua wakumwaga mapesa yupo...we subiri uone tu..watu na roho zao...

Point here, kuna watu wanakaa na kulea maradhi wakiwemo kampuni ya bia ya TBL na hao akina Malkia wa Nyuki. Huwezi kuwa kila siku unakava makosa ya kizembe ya akina Rage na wenzie.

Kwaupande mwingine washabiki nao wanachangia upuuzi huu, kwanini wanakubali kwenda uwanjani na kuchangia matumbo za watu? Gate collection inawafanya wasifikirie zaidi, ni wakati wa washabiki kususia mechi za timu hizi ambazo hazina mwelekeo wala dira....

Call for reaction please!
 
Back
Top Bottom