Juma Kaseja Apata Udhamini Mnono wa Nike

Juma Kaseja Apata Udhamini Mnono wa Nike

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,937
Reaction score
5,359
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Juma Kaseja amepata udhamini mnono binafsi toka kampuni ya Nike. Taarifa nilizozipata amekula zaidi ya pauni 50000 kwa mwaka huu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom