Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,780
Huyu mzee anayeongoza FIFA anaonesha upenzi waziwazi kwa timu za Spain, sana sana Barcelona na Real Madrid, na hata kupanga kikosi cha Uefa chenye wachezaji wa hizo timu mbili isipokuwa kwa Falcao peke yake. Pia aliwahi kuropoka kwamba ligi ya Spain ndio ligi bora duniani, sasa timu zake zitolewe ili aache nyodo!