Uso kwa uso na...

Uso kwa uso na...

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,351
Balozi wa Azam FC humu jukwaani, ndetichia.
Ilikuwa baada ya game ya Azam na Al-Nasr Juba, pale nje ya uwanja mkuu wa Taifa. Ni bro poa sana, kama vile tu anatokelezea humu jukwaani, hana makuu na ni mchangamfu wa kutosha, cha zaidi ni kuwa tulipanda gari moja wakati wa kurudi makwetu.
Kifupi, ilikuwa poa sana kukutana na huyu jamaa...
 
Last edited by a moderator:

Hapo tu unaweweseka ndugu yangu kwa kukutana na Ndetichia...
Je ukimkuta Gang Chomba katika uwanja wa shule ya msingi Mashujaa wanapofanyia mazoezi Abajalo, we si utavua shati na kukimbia kidali wazi kwa furaha??

all in all karibu tena Kaka
 
GC the italian lover milan yaani najuta kwanini tumewauzia yule super mario balo45 kiasi anaweza kuleta ubingwa milan na jana tumeangukia pua kwa hawa wa roma..
 
I always treasure the best! Napenda watu wanaoleta mabadiliko haijalishi wako mahala gani, sinaga shobo na wanasiasa ambao umaarufu na heshima wanayopewa inakuja by default na kwa kujipendekeza. Sio Gang Chomba pekee, hata Mjomba Apongozi wa kitaa huwa ananikosha na nina furaha kuwa nae karibu.
Nashukuru kwa ukaribisho wako murua kabisa member mwandamizi wa Jukwaa la Mapishi, nina furaha kuwa nawe mahali hapa...
 
Last edited by a moderator:
Balozi wa Azam FC humu jukwaani, ndetichia.
Ilikuwa baada ya game ya Azam na Al-Nasr Juba, pale nje ya uwanja mkuu wa Taifa. Ni bro poa sana, kama vile tu anatokelezea humu jukwaani, hana makuu na ni mchangamfu wa kutosha, cha zaidi ni kuwa tulipanda gari moja wakati wa kurudi makwetu.
Kifupi, ilikuwa poa sana kukutana na huyu jamaa...
Ni ishara au alama gani ilitumika mpaka ukaweza kumtambua????? au ulisikia watu wanamuita kwa jina ID Name anayotumia hapa JF!!!!!.
 
Last edited by a moderator:
Ni ishara au alama gani ilitumika mpaka ukaweza kumtambua????? au ulisikia watu wanamuita kwa jina ID Name anayotumia hapa JF!!!!!.

Swali chokozi sana, huxu bwana tunafahamiana na kwenye mitandao mingine ndio maana ikawa rahisi.
 
Gang Chomba usimtishe MPHAMVU. Mzee wa Abajalo, umeona watu leo wamepigwa na LIBOLO.
 
magazeti ya kesho...
majira simba yakalia libolo...
Nipashe Libolo moja tu simba hoi...
mwananchi libolo laichana simba...
kasheshe simba ndembendembe kwa libolo...
tz daima chezea libolo weye!...
 
GC the italian lover milan yaani najuta kwanini tumewauzia yule super mario balo45 kiasi anaweza kuleta ubingwa milan na jana tumeangukia pua kwa hawa wa roma..

Nimewaambia kule the stone that the builder refused.........................
 
I saw it coming bana...
Ingekuwa maajabu kwa Lunyasi kutoa hata suluhu na wale wadudu.
magazeti ya kesho...
majira simba yakalia libolo...
Nipashe Libolo moja tu simba hoi...
mwananchi libolo laichana simba...
kasheshe simba ndembendembe kwa libolo...
tz daima chezea libolo weye!...
 
Gang Chomba usimtishe MPHAMVU. Mzee wa Abajalo, umeona watu leo wamepigwa na LIBOLO.

Hii mikwara kama ya msela angu Juma Kipila, kwamba usimtishie jela kwa kuwa ana kirago Ukonga. Siku wajomba walipotudandia na kutupeleka kituo kidogo acha mkojo umtoke...
 
Hah hah haaah Juma Kipila kanitia aibu
 
Back
Top Bottom