Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jamani man u wananipa raha sanaaaaaaaaaaaaaaa
0 Reactions
0 Replies
773 Views
kama ilivyotarajiwa timu ya Jkt oljoro imekuwa kivutio kwa wapenda soka wa arusha na Tanzania kwa ujumla,matarajio ya wengi ni kwamba JKT oljoro watarudisha heshima ya arusha katika soka.yanga na...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
In my last blog “enough is enough” I suggested that there should be an independent refereeing organisation set up to control all matters refereeing. This organisation should also manage, train...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Kua mshabiki wa timu flan haimaanishi kuchukia timu nyingine,km mpenzi wa mpira unatakiwa kuangalia pande zote na si kusimamia ushabiki,wikend hii ya primier league nimeona maamuzi mengi mabovu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kha hawa lamba lamba sasa naona kazi imekuwa nzito. pata data kamali hapo chini trequatista | Wix.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi! kama kawaida yetu leo tena mechi kali kweli kweli,mm nitakuwepo uwanja wa taifa DSM live kushuhudia simba na azam,tutakuwa tunawaletea live updates kwa wale waliokosa kufika...
1 Reactions
226 Replies
17K Views
Jamani hii si Logo ya Voda? Manake angekuwa mzee Akilimali mngesimamia vidole gumba na kumtolea matusi, sasa kumbe zipo logo nyingi za voda mpaka za grey na wanafiki wote mtajua Yanga was right na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
INASHAURIWA NA WATAALAMU WA AFYA USIPENDE KUUTESA MOYO WAKO SABABU UPO DELICATE HUCHELEWI KUZIMA GHAFLA!!! HIVYO INASHAURIWA KUIPENDA MAMNCHESTER NA SIMBA KWA AFYA BORA. RED ARMY :bange:​
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wote mnaotazama hii mechi tunaomba update mzimwage humu.
1 Reactions
24 Replies
6K Views
CONTEST: Vodacom Premier League VENUE: Azam Complex, Chamazi KICK OFF: 1600HRS EA Time UPDATES: VIA JamiiForums
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Jana ligi kuu Tanzania bara iliendelea kwa baadhi ya viwanja, wakati mashabiki wa mpira wa miguu wanaoichukia ama itakia simba mabaya walitegemea ushindi kwa Azam mambo yamekuwa kinyume chake...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Azam fc 1(Bocco) Simba 1(Sunzu), Yanga 1(Twitte) Oljoro 0 Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani huku tunakoelea sasa kisoka siko, mchezaji anadai milioni 7 kwa mwezi, kocha anadai dola elfu 10, hivi mpira wa Tz unaelekea wapi? na hawa wazalendo watabaki kulipwa laki 8? huu urari wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya ukweli kujulikana kuhusu Lance Armstrong ..... nimekuwa najiuliza.....what about Usain Bolt?.... hatumii madawa? na kama anatumia...ni hadi lini ukweli utakuja kujulikana?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Timu ya soka ya coastal union imefanikiwa kumpata mchezaji kutoka brazil. mchezaji huyo atareport mda wowote akiwa na mke wake. mchezaji kasema anafurahi kubadili mazingira ya kazi yake. ntawapeni...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Timu ya soka ya Prison ya Mbeya imepata ajali mbaya mkoani Tanga baada ya gari lao aina ya Coster kupinduka mara tatu. Hivyo mechi yao na Mgambo JKT imeahirishwa hadi hapo baadaye. Source: ITV
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujua wasambazaji wazuri wa muziki wa Injili waliopo Nairobi. Naomba jina na contacts kama inawezekana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NA ALBERT G. SENGO:MWANZA Ikitumia Vyema uwanja wake wa nyumbani Pamba Fc ya Mwanza leo imeanza vyema mchezo wake wa kwanza kundi C ya Ligi ya soka Daraja la kwanza ya Tanzania bara kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom