Baloteli kweli hakosi vituko ila hii imekaa vizuri....amponda messi

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147
Mario Balotelli on Milan and Messi:

Mario Balotelli: "I didn't participate today because of the laws of the Champions League but I do not know why Messi didn't participate."
 
Messi kwa kweli alifunikwa ndiyo maana Mario B anashangaa kwanini hakushiriki.

Alikuwa anakimbia kimbia uwanjani
Kuna wachezaji Barcelona wakibanwa timu haichezi kbs.

Kanzu na sarakasi imwkubali vzr jamaa wakapigwa 2 kavu.
 
Hahhaahaaaa, i like it, habari chini ya kapeti zinadai Nessi didn't participate kwa sababu alikua anamuonea aibu bwana ake, Philip Mexes.
 
Messi kwa kweli alifunikwa ndiyo maana Mario B anashangaa kwanini hakushiriki.

Alikuwa anakimbia kimbia uwanjani
Kuna wachezaji Barcelona wakibanwa timu haichezi kbs.

Kanzu na sarakasi imwkubali vzr jamaa wakapigwa 2 kavu.
Wewe lazima utakuwa Man u..!
 
Back
Top Bottom