regan morgan
Senior Member
- Feb 6, 2013
- 186
- 53
[h=5]Mh.Aden Ismael Rage.
Wanachama walikuchaguwa kwa sababu ya written Plan zako, tukajuwa hakika utatufikisha sehemu ambayo kila mwanasimba anaitaji kufka. Uliahidi kuingia mikataba na wapangaji,kupaka rangi jengo,kulipia umeme bill,kumfunga mpinzani wetu,utajenga uwanja,level za Simba zitakuwa za Enyimba,Esperence of Tunis, etc.
Uliahidi kuilipa familia y Mafisango pesa ambayo haijawahi lipwa na klabu yyote tz!
Tunashukuru umepaka jengo rangi,umeweka ofice z viongozi,umelipa bill za umeme,umemfunga mpinzan wetu,umegunduwa kma Tp walimchezesha Bakungu visivyo harali lakin ukashindwa kumaliza kazi nzuri ulioifanya mwishoe waarabu w morroco wakaanzia ulipoishia na Tp wakaenguliwa!
Mheshimiwa iko wapi ile Tv Simba ulioahidi!ulisema utahakakisha matawi ya Simba yanafunguliwa Nchi nzima leo hii umeishia kubishana na Mpira pesa!
Mh.ni nini hasa sa7 za kumuondosha Milovan?
Mh.kipekee sikatai wachezaji bado wangali wananunuliwa na watu binafsi lakini wako wapi mmbadala w Samatta,Ochan,Okwi na Yondani?!
Je!hizi ndio level ulizotaka tufikie za kuuza key player bila hat kununuwa bora zaid, kufungwa hata na Libolo timu inayojifunzia mbinu za ushindi w ugenin kwetu?!
Nijuavyo mimi unayomawazo mazuri sana kw ajiri y Simba lakini kiukweli mawazo yako hayatekelezeki kwa maana unawatumikia mabwana wawili Jimboni&Simba. Hv sasa simba hatuna ata uhakika wa kuvuka hatua hii ya mwanzo ya mtoano kutokana na kichapo cha nyumbani[/h][h=5]Ushauri wangu katimize ahadi zako na Ilani za Chama ukimaliza kiu ya kuwatumikia wana Tabora rudi Simba utuombe tena ridhaa nasi tutakufikilia kw mema yako machache.[/h]