Anti-Football Haina Nafasi Nou Camp

Anti-Football Haina Nafasi Nou Camp

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,609
Reaction score
1,737
Imefanya kazi San Siro. Ni Cataneccio ya Kitaliano. Huwa inahitaji discpline kubwa sana ya Kimafia ya kukaba. Lakini haitaweza kufanya kazi Nou Camp. Watabana sana ila wataachia!

Picha hii hapa chini inaonyesha jinsi gani packing the bus the Maurinho way can bring the beautiful game into disrepute, total anti-football!

barcaheatmapvmilan_576x324.jpg

"Heat map of all of Barca's 961 touches, 11 in the penalty area. Milan put up a wall right at the 18-yard line" - Forza Milan! Barca beaten - ESPN FC
 
Gemu ya jana, Barcelona walibanwa vya kutosha!
Safi sana AC Milan, mpira ni mbinu..ikiwa mbinu A haifanyi kazi jaribu mbinu B. Huo mtindo wa kulaumu kwamba watu wanapaki basi, sijui ni siasa za wapi! Kwa sababu timu lazima iwe na uwezo wa kushambulia na kuzuia pia. Barcelona imelegea sana kwa sasa..imebaki jina tu. Pique na Puyol walikuwa wanachanganyana sana jana. Kwanza kumbuka Barca hawa hawa wamefungwa na Celtic msimu huu. Pia unakumbuka walitolewa na Chelsea Fc mwaka jana? Usipende kufikiri AC Milan ni Arsenal au Man Utd, timu ambazo hazina ujanja kwa Barca..gemu ijayo Barca wakifunguka kutafuta magoli baaasi..:yo:
 
Who said kwamba lazima kila team icheze huo upuuz unaitwa tika taka? Team inaposses mpira na kupiga pass 668 lakin inamanage only 2 shots on target? is this wat u call positive football?

Kila team na kocha ana mbinu zake za kushinda, huyo Mourinho unamwita anti football ana record unique Ulaya, hakuna kocha mwingine anayo kwa club level, na alishaenda hapohapo Nuo Camp na Inter akapaki Tren na akaibuka kidedea, so usishangae Libolomilan wakifanya the same.

Mapenzi yako kwa wacatalunya yasikufanye uwe kipofu Mkuu, hutafikiri sio mtu wa Bianconeri bana!
 
kwani morinho alivokua chelsea au inter milan alifanya nini? pale nou camp ni kupaki basi tuu na ku counter attack...ukisema ucheze attacking football against akina xavi na messi watakumaliza
 
kwa hiyo kumbe ac milan walikuwa wanacheza ndondi na safari hii labda mbebwe na refa.
 
mwisho wa siku mpira ni magoli
 
Mi sioni Barca watatokea mlango hupi, yaani wamfunge AC goli 3-0 wakati jana wameatempt mara 2 tu? Safari moja imeshaanzisha nyingine ata mwaka jana Barca walishazidiwa mbinu na AC ila refa akawa-boost kwa Unicef wao.
 
Mimi si mshabiki sana wa mpira lakini kwa ufupi tu ni kwamba Barcelona imeshatolewa kwenye haya mashindano.

Huu mchezo wa show game wa Barca wawe wanacheza na timu kama Arsenal ndio watawaonea kwa sababu wanakuwa wamewafikisha kwenye raha yao. mpira magori bandugu.

Arsenal ndio timu ambayo ningeweza kuishabikia lakini nilijitowa mapema baada ya kuona naweza pata ugonjwa wa moyo au vidonda vya tumbo. kama upendi vikombe basi shabikia Arsenal.
 
Imefanya kazi San Siro. Ni Cataneccio ya Kitaliano. Huwa inahitaji discpline kubwa sana ya Kimafia ya kukaba. Lakini haitaweza kufanya kazi Nou Camp. Watabana sana ila wataachia!

Picha hii hapa chini inaonyesha jinsi gani packing the bus the Maurinho way can bring the beautiful game into disrepute, total anti-football!

barcaheatmapvmilan_576x324.jpg

"Heat map of all of Barca's 961 touches, 11 in the penalty area. Milan put up a wall right at the 18-yard line" - Forza Milan! Barca beaten - ESPN FC
anti-barca ni wengi bro ila bado naamini kwenye timu yangu naamini tunayo nafasi bado... visca el barca..
 
Imefanya kazi San Siro. Ni Cataneccio ya Kitaliano. Huwa inahitaji discpline kubwa sana ya Kimafia ya kukaba. Lakini haitaweza kufanya kazi Nou Camp. Watabana sana ila wataachia!

Picha hii hapa chini inaonyesha jinsi gani packing the bus the Maurinho way can bring the beautiful game into disrepute, total anti-football!

barcaheatmapvmilan_576x324.jpg

"Heat map of all of Barca's 961 touches, 11 in the penalty area. Milan put up a wall right at the 18-yard line" - Forza Milan! Barca beaten - ESPN FC

Absolutely true!! Companero wewe unajua soka na sina shaka hata uwanjani ulishawahi au una uwezo wa kusukuma gozi..Milan will suffer at Camp Nou, the tactics wont help them there!! Barca will be like a wounded animal!!
 
kwa hesabu za haraka kwa pro barca watoe bahasha za kaki kwa marefa na match official wote washinde kuifunga milan tatu bila ni kwamba refa na other official match wanacheza RIP Barca no one is perfect in this world..
 
Mimi si mshabiki sana wa mpira lakini kwa ufupi tu ni kwamba Barcelona imeshatolewa kwenye haya mashindano.

Huu mchezo wa show game wa Barca wawe wanacheza na timu kama Arsenal ndio watawaonea kwa sababu wanakuwa wamewafikisha kwenye raha yao. mpira magori bandugu.

Arsenal ndio timu ambayo ningeweza kuishabikia lakini nilijitowa mapema baada ya kuona naweza pata ugonjwa wa moyo au vidonda vya tumbo. kama upendi vikombe basi shabikia Arsenal.

Heri umeanza kwa kusema wewe si shabiki sana!! Barca watawatoa Milan Camp Nou !! Subiri utaona!
 
Ila bado nayakumbuka maneno ya Gang Chomba kwamba mpira hata huujaze vipi haudundi baharini. Barca out for sure.

Seems you dont know Barca, or you know them but yesterday defeat has made you forget, What they have got,What they are capable of. Milan will be destroyed heavily!!
 
Nadhani wangeanza na kwa Chelsea last season.
 
Seems you dont know Barca, or you know them but yesterday defeat has made you forget, What they have got,What they are capable of. Milan will be destroyed heavily!!
Mwaka juzi walitolewa na Inter style hiihii mwaka jana pia wakatolewa na Chelsea kwa style hiihii,sidhani kama wataweza kufunga magoli matatu pasipo kuruhusu,embu waangalie AC Milan wanapaki then wanafanya kaunta attack za hatari,mpira utakuwa mgumu,sioni kama kuna usalama kwa Barcelona.Jiulize wangapi walitegemea kuwa Barca atafungwa? Kitendo cha kutaka kukomboa magoli na kuongeza kitawacost barca.na kama milan wangekuwa makini zaidi wangepata Bao zaidi ya tatu,embu angalia zile attempts.
 
Sijajua kwanini unasema kupaki ni anti football,kwani umeambiwa pass ndio football?Pass,kupack zote ni mbinu za kushinda,sasa wewe kama kocha mwerevu basi unachagua mbinu inayokufanya ushinde,kamwe huwezi chagua mbinu inayokufanya ufungwe.in short Barca jana waliishiwa mbinu za ushindi,we kama umeshindwa kumfunga kwa sababu kapack basi huna mbinu mbadala,na kama alipack ilikuaje mpaka akakufunga wakati ye kapack.
 
Mwaka juzi walitolewa na Inter style hiihii mwaka jana pia wakatolewa na Chelsea kwa style hiihii,sidhani kama wataweza kufunga magoli matatu pasipo kuruhusu,embu waangalie AC Milan wanapaki then wanafanya kaunta attack za hatari,mpira utakuwa mgumu,sioni kama kuna usalama kwa Barcelona.Jiulize wangapi walitegemea kuwa Barca atafungwa? Kitendo cha kutaka kukomboa magoli na kuongeza kitawacost barca.na kama milan wangekuwa makini zaidi wangepata Bao zaidi ya tatu,embu angalia zile attempts.

Second leg Barca will play with a more quick passing game,high tempo and shoot from outside. Milan will lose, Kama unafikiri Chelsea,Inter kushinda kwao kutawasaidia Milan subiiri utaona!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom