Mabingwa mara saba wa vilabu Barani Ulaya,AC Milan jana walipambana kiume ugenini Uswis na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Anderlech. Milan ilihitaji ushindi ili isonge mbele kwa hatua ya mtoano ya 16...
Kocha wa Azam, Stewart Hall ametoa maelezo ya kuwa wachezaji wa Azam waliosimamishwa walikula rushwa kwenye mechi ya simba na pia mechi ya Yanga.
Alisema kwa sasa hawataongeza mchezaji yeyote...
Nilishindwa kuwaelewa Clouds FM kwa kuamua kukusanya kura za ama KUMKUBALI au KUMKATAA mheshimiwa L. Tenga wakati hoja NZITO ni kwa nini TFF haijatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu kama sheria...
amechaguliwa kwa muda (appointed on interim basis) mpaka mwishoni mwa msimu.
Hatua hii inafuatia baada ya kutimuliwa kwa Roberto Di Matteo baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Juventus jana usiku...
Sixteen teams including Tanzania and Botswana have tentatively confirmed participation in this years edition of the Safaricom Sevens. Top seeds of course are Kenya followed by last years' runners...
The only real surprise is what took him so long. Why wait until November when he should have acted immediately after that night in Munich in May? Even as the glitter of victory fell from the...
One of the funniest matches in football: Arsenal VS Spartak Moscow
(1925) Fog was covering the pitch (White Hart lane), and it was too
hard to see, impossible to play a match. But the ref...
ukitaka kupata matatizo ya kushabikia basi shabikia chelsea, maana hawa watu sijui ni timu, mfano wa timu au ni wazee wa kutimua timua. ndani muda mfupi wanaatimua makocha sasa sijui Chelsea...
wanajamii naomba mfanye uchunguzi kwanini mamiss wa bongo siku hizi hawapendi kutumia majina ya ubini
ya kilugha. asilimia 80 ya mamiss wanaficha majina yao ya kilugha. je ni kufagilia uzungu ama...
Tanzania goalkeeper Ivo Mapunda was Gor Mahia's hero stopping two penalties as K'ogallo beat Sofapaka 3-0 to retain the FKF Cup at Nyayo Stadium on Tuesday.
Defender Eugine Asike and Abdalla...
Wadau, kitendo cha simba kuwasainisha mkataba wachezaji wa kigeni na kuwatimua hata kabla ya msimu kuisha kimeendelea, itakumbukwa baada ya kombe la Kagame kuna wachezaji wa kigeni walifukuzwa...
Kuna msemo unasdma 'mwafrika akiulamba na kandambili ushamba,mzungu akiulamba na kandambili fasheni' Haya sasa yanga na azam walipofukuza makocha kwa kufanya vibaya mkatukana sana mara oooh soka...
Snoop reveals Celtic plans.
Hip-hop superstar Snoop Dogg has revealed he wants to buy a share in Celtic, and harbours ambitions of signing David Beckham for the SPL giants.
The Scottish Daily...
Leo katika kipindi cha Dira ya Dunia kupitia StarTv nilikerwa na kauli ya mtangazaji wa michezo Charles Hilary kwa kusema "Eti Taifa Stars nayo yaifunga Harambee Stars".Kwa mtizamo wangu huyu...
The world's richest man, Carlos Slim, is set to become the top shareholder in Real Oviedo after investing 2 million euros in the club, his third known sports acquisition since September...
RAGE ALISAMBARATISHA TAWI LA SIMBA LA MPIRA PESA
MWENYEKITI wa Simba, Ismail Rage amelifunga Tawi la wanachama wa timu hiyo linaloitwa Mpira Pesa kwa madai ya kukiuka katiba ya klabu hiyo, pia...
Asalaa alkhum wanajamvini,
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia utendaji kazi wa Rais wa TFF Ledger Chilla Tenga nimegundua kuwa hanajipya katika kuleta mabadiliko ya soka la Tanzania na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.