Wakuu naomba kuuliza ipi ni Official Logo ya Club ya Yanga kati ya:
Hii
![]()
Na hii.
![]()
Naombeni kujuzwa.
Mkuu ipo kwenye jezi gani hiyo?Mbona hujaweka ile logo ya kandambili!lol
Na wakishinda kama leo!hii chini ndio inatumika yaani wakifungwa wanampa mangumi refa..
Thanks mkuu nilikuwa nafuatilia.Ya kwanza ndio utumiwa sana wakati huu mkuu. tunatoka taifa na point 6 mbele sasaaaaaa
Ok, nimeona ni hiyo ya pili. Sasa hii nyingine inakuwaje mbona kwenye jezi za kichina zinatumika zote?Bonyeza hapa upate mwongozo....The Official Website of Young Africans Sports Club
Na wakishinda kama leo!
Mkuu ipo kwenye jezi gani hiyo?
hii chini ndio inatumika yaani wakifungwa wanampa mangumi refa..
huelewi maana ya timu kuwa na SC? Simba inaitwa "Simba Sports Club" Yanga pia "Dar Young Africans Sports Club"
Tofautisha na timu kama Azam ambayo inaitwa "AZAM fc", yaani "Azam football club"
timu ikiwa "sports club" maana yake klabu hiyo inaweza kuwa na wachezaji wa mpira wa miguu, basketball, ngumi, karate, netball etc, chini ya jina lake!
Alright........huelewi maana ya timu kuwa na SC? Simba inaitwa "Simba Sports Club" Yanga pia "Dar Young Africans Sports Club"