Leo ni Leo, Barcelona anakamuliwa MOU CAMP..

Leo ni Leo, Barcelona anakamuliwa MOU CAMP..

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,176
Reaction score
683
Leo ile Made in Milan Brand inakuja kutia chumvi kwenye Kidonda walichochokonoa kina CR7,Ozil &co,
Mtu atapigwa kama amesimama..upo Gang Chomba?
Msikose mtanange huu.
Forza Milan!
 
Last edited by a moderator:
ac milan sio timu nzuri ki vile,leo mtawakimbia,japo barca nao hawako vizuri sana lakini leo watarudisha heshima yao iliyoanza kupotea.
 
Leo ile Made in Milan Brand inakuja kutia chumvi kwenye Kidonda walichochokonoa kina CR7,Ozil &co,
Mtu atapigwa kama amesimama..upo Gang Chomba?
Msikose mtanange huu.
Forza Milan!
ukubwa wa pua si wingi wa makamasi,pole lakini namba uliyopiga haipatikani kwa sasa tafadhali jaribu tena msimu ujao
 
ukubwa wa pua si wingi wa makamasi,pole lakini namba uliyopiga haipatikani kwa sasa tafadhali jaribu tena msimu ujao
Hahahahahh.. gutierez, u cant believe jukwaa la sport sijatia timu tangu usiku. Anyway, kipofu kauona mwezi..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom