Barca leo anashinda

Barca leo anashinda

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,476
Reaction score
21,046
Husika na chombo cha habari hapo juu mm leo naahidi Barca asiposhinda nameza kisu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umetembea na hicho kisu chako? usije ukawa unatishia nyau. Any way na mimi naamini atashinda lakini sio kwa viapo kama unavyofanya wewe
 
Mm najua mpira nimeanza kushangilia tangia vidudu am sure of it UMEONA @lyaga

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Husika na chombo cha habari hapo juu mm leo naahidi Barca asiposhinda nameza kisu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

freemason kitengo cha utabiri,hata sibishi ila mesi mmh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom