Kanu aibiwa mabilioni

Kanu aibiwa mabilioni

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
Mchezaji wa zamani wa timu ya Nigeria, Nwankwo Kanu amepoteza kiasi cha Dola 104 milioni (Sh 166 bilioni za Tanzania) huku mmoja wa watendaji wakuu wa hotel yake akikamatwa na kufikishwa mahakaman, Mkurugenzi wa hotel hiyo ya Hardley Suites ya mjini Lagos, Ayoola Gam Ikon (49) amekamatwa na kufikishwa mahakamani akihusishwa na upotevu wa fedha hizo. Ikon alikamatwa na polisi akidaiwa kuhusika katika wizi wa fedha hizo mali ya hoteli hiyo inayomilikiwa na Kanu.
 
Chezea Nigerians kwa utapeli, sasa na yeye pesa yote hiyo kwa nini asihamishie kwenye akaunt binafsi iliyo chini yake? Amejitengenezea mazingira ya kuibiwa hizo pesa ni nyingi sana zinamtoa mtu imani.
 
  • Thanks
Reactions: kbm
Jamaa ana bahati mbaya mika kama kumi iliyo pita nymba yake ya londan ilivunjwa na kuibiwa hela nyingi na vitu vya thamani.
 
  • Thanks
Reactions: kbm
Acha uhuni uo, Unazifaham dola milioni 104 au unazitaja tu.
 
  • Thanks
Reactions: kbm
Ameibiwa pesa sawa na bajeti ya wizara mmojawapo kwa hapa TZ
 
Acha uhuni uo, Unazifaham dola milioni 104 au unazitaja tu.

Hii habari ipo kama ilivyo kwenye mwananchi jumapili kwa hiyo mleta mada yupo sahihi, unahisi Kanu hawezi kuwa na utajiri huo?
 
  • Thanks
Reactions: kbm
Hii habari ipo kama ilivyo kwenye mwananchi jumapili kwa hiyo mleta mada yupo sahihi, unahisi Kanu hawezi kuwa na utajiri huo?
Kwa nini asiwe nayo.
It is a just normal money!!!!!
Dunia inamfahamu,why asiwe na pesa hiyo?tena ktk biashara ya hotel?
Tatizo letu wa tz tunakata tamaa kabla ya kuanza kutafuta shillings!
 
Back
Top Bottom