Napenda kuirejea post yangu kuwa; SIMBA NI TAASISI, JE UNABISHA?
Ninapata ujasiri wa kuandika hivi kutokana na kile kilichojiri jana uwanja wa Taifa kati ya simba na costal union. Labda niwakumbushe tu maana ya taasisi kwa jinsi nijuavyo mimi ni chombo ambacho kina malengo mahususi na miundombinu kwaajili ya kifikia malengo. Yapo mambo ambayo simba hayajafanikiwa ndani ya msimbazi lakini katika kujenga wachezaji kwamaana ya maandalizi tangu wakiwa wadogo simba ipo vizuri.
Katika kuthibitisha hili, wachezaji waliocheza jana na kufanya vile walivyofanya ni ukweli tosha kwa timu pinzani dhidi ya simba. Inafaa sasa wadau wote wenye nafasi yoyote msimbazi wajitafakari na kujipima kama wanatosha kwa nafasi zao maana vijana wa jana wamethibitisha kuwa hakuna mwenye chake Msimbazi.
Uwe mchezaji ni vema kuitumia vema nafasi yako, uwe kiongozi vilevile yakupasa kusimama vizuri maana mabadiliko yoyote yanaweza kufanyika muda wowote kwa maendeleo ya timu.
Wachezaji wa timu A, jiulizeni sasa kuwa mnatosha msimbazi?, nakipongeza sana kikosi hiki cha jana
Abel Dhaira, Nassor Masoud 'Chollo', Miraji Adam, Hassan Khatib, Shomari Kapombe, Jonas Mkude, Amri Kiemba, Rashid Ismail, Abdalah Seseme, Haruna Chanongo, Mrisho Ngass
Substitution: Salumu Kinje, Ramadhani Singano