Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nilidhani ni yale ya nyimbo za taifa kugoma kupiga siku ya mechi ya kimataifa na umeme kukatika siku ya fainali tu, kumbe kuna hili liliwahi kutokea enzi za mwalimu
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nani mkali
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Hizi ni taarifa zilizopo katika tovuti ya Chelsea Adam Nditi, Born on 18 September 1994 in Zanzibar, Tanzania, Adam arrived at Chelsea as an Under-13 and can play either left-back or...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Enzi hizo nikiwa primary na wakumbuka hawa,wengine mwenye kuwajua aendeleze 1.Mohamedhi Mwameja 2.George magere Masatu 3.Deo Mkuki 4.Athumani China 5.Madaraka Suleimani. Mzee wa kiminyio...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Good Friday for Kenya at Dubai Sevens Spain's Marcos Poggi (L) tackles Kenya's Willy Ambaka during an IRB World Series Sevens rugby union match in Dubai on November 30, 2012. AFP By AYUMBA...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na Usajili Abdall Bin Kleb (kushoto) akiongea na wandishi w ahabari leo makao makuu ya klabu, kulia kwake ni kocha mkuu Ernie Brandts TAARIFA KWA VYONBO VYA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Timu ya rugby ya Samoa ya wachezaji saba kila upande imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Dubai Sevens baada ya kuwafunga New Zealand kwa pointi 26-15 kwenye mchezo wa fainali uliofanyika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
list ipo kama hivi - Crystal Palace v Stoke City Brighton v Newcastle Tottenham v Coventry Wigan v Bournemouth Fulham v Blackpool Aston Villa v Ipswich Charlton v Huddersfield...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I wish you all a wonderful and joyful Christmas season. GGMU Forever. Cheers,
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Azam FC inatarajia kuelekea Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tarehe 13 hadi 23 December kushiriki mashindano ya Ngao ya Jamii (Charity Cup) Mashindano hayo ambayo yatashirikisha timu...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Wakuu habar zenu. Naomba msaada wenu kwa yoyote anayejua namna ya ku apply na kupata athletic scholarship zitolewazo nchini USA kwa wanamichezo vijana. Mdogo wangu ana kipaji kikubwa cha soka na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Serengeti kishakula mbili bila na kaaga mashindano ya vijana kuelekea Morocco.. Sijui wataenda kukata rufaa maana ndio mawazo yetu hayo toka gemu ya kwanza. Congo U17 2 - 0 Tanzania U17
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa sasa ni half time, kilimanjaro stars 5, Somalia 0. (Ngasa 3, Boco 2). Vijana wako vizur, inaonekana magoli yataongezeka kipind cha pili. Yap yap, ni kipind cha pili dk ya 58 magoli hayo...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Luiz Felipe Scolari ameteuliwa kushika mikoba ya kocha Mano Menezes aliyeachishwa kazi na chama cha soka cha Brazil, je Luis Felipe Scolari ataweza kuirudisha Brazil aliyokuwa nayo msimu wa 2001...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili, kwenye habari za michezo. Kwenu habari ya Redknapp na QPR mmeipa kipaumbele kuliko matokeo ya CECAFA Challenge, mkaiweka ya kwanza na maelezo mareeefu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Huku ni kudhalilisha wachezaji, soccer lenyewe na nchi shiriki.Cecafa isirudie tena ujinga huu kupeleka mashindano nchi ambayo haina playgrounds nzuri, result ni kwamba matokeo yanayotokea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanyama tops Caf awards list PHOTO | GRAHAM STUART Celtic's Victor Wanyama celebrates after scoring a second goal against Helsingborgs during the UEFA Champions League play-off, 2nd leg...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kenya reach Cecafa Cup quarter-finals By Andrew Jackson Oryada BBC Sport, Kampala Kenya beat Ethiopia 3-1 to secure a place in the last eight of the east and central African regional...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Back
Top Bottom